Simu imeibwa

Simu imeibwa

Simu yako imeibiwa kitu gani?

Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote

Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?

Nawasilisha
 
Ok. Nunua nyingine pachika endelea kutumia. Sasa unalalamika hata hivyo vitu vidogo tu. Mtu mwingine alianzisha uzi analalamika kuna jamaa yake kanywa sumu ya panya. Watu wanakuwa walalamishi na vitu vidogo vidogo tu.

motherboard yote
 
ni simu ya aina gani kwanza maana gharama ya awali huwa ni wekundu wa msimbazi wakumi wahindi wanaita laki moja
 
Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote

Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?

Nawasilisha
Inategemeana aina ya simu.kama ni zile Iphone,au sumsang versionlatest inawezekana.Ila aina nyingine ya simu nasikia inawezekana kubadilisha IMEI number hivyo ,inafuta kumbukumbu zote na inakuwa ni simu nyingine.ila pia nilambiwa zinauzwaga kwa mafundi simu kwa ajili ya spea.Yaani zinachinjwa kama wanavyofanya kwenye magari

Kingine cha mhimu wewe nenda kareport police ili uwe safe ,isije simu yako ikatumika kwenye uhalifu.Waachie na namba ya yako unaweza kuipata.maana na wao wakiipata hiyo simu ni ulaji.wanaanzaga na mkwara kwa aliyekamatwa kwamba hii simu ilipoibiwa na mauji yalitokea ili kumtia jamba jamba mwizi. so utapata simu na wao wanapata chao.

Ila usiingie cost zaidi sababu pia ni bahati nasibu kama simu itapatikana
 
Shukran Mkuu
 
Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote

Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?

Nawasilisha
Unataka kumfanyaje mwizi wako!
 
Polisi wanafuatilia na wana uwezo wa kurudisha simu kama una imei na ushahidi kama risiti ama boksi la simu kuwa hio simu ilioibiwa ni yako.

Sema mara nyingi hawadeal na simu za bei rahisi, ukiwa na iphone ama galaxy S/note wanakusaidia ukiwa na hela ya mafuta.
@Chief-Mkwawa Mambo Vipi!!!!!

Polisi Wanaweza Nisaidia Kuipata Simu Ambayo Sio Smartphone????

Lengo Langu Ni Kumpata Mwizi Na Kumtia Adabu Kidogo. Kuna Madogo Wanajifanya Masela Mavi Sana Uswahilin Kwetu Huku

Chief-Mkwawa
 
ndio wanaweza ila inabidi uwa convice. polisi wana track na imei, kama una imei ya hio simu, ama box ama risiti ama chochote cha kuthibitisha wapelekee, kikawaida hawajali feature phone ama smart ya bei rahisi ukipoteza.
 
Hapana mkuu

Mi walinikwapulia kimeo changu walivunja kioo chanyuma cha gari wakapita nayo

Nikaenda polisi ilikua Singida,
Nikaambiwa niache imei no, kisha wakanambia kwakuwa jamaa wanao deal na kitengo cha ku trace(sijui ni akina nani) wapo bize sana inabidi tuwape ahadi waishughulikie fasta na wakiiona tu ipo hewani niwape elfu 50.
Baada ya hapo kama simu itakua mbali inahitaji nauli kufika basi nauli ntatoa mimi
Na baada ya simu kupatikana aliyekamatwa nayo atarudisha gharama zangu zote

Na ndio ilivyokua
Baada ya wiki simu ikaonekana nikawapa elf50 na nauli elfu 10
Baada ya siku tatu nikapigiwa simu nikaenda kuichukua na elfu 60 zangu
Ila mwizi wangu sikumuoma [emoji65]
 
kifupi mwizi aliacha simu,pesa yako,pesa ya afande,na pesa ya kufuta kesi[emoji23]

raha ya hii kimeo,simi isiwe imefanya janga kubwa.
 
Hii nchi tunahitaji kufuta Jeshi la Polisi na Kuanza upya kama ilivyokuwa JKT

Tunashindwa kusaidia wananchi kupata simu zao tutaweza kupambana dhidi ya human trafficking, ujambazi na madawa ya kulevya
 
Nitawapa jibu baada ya mwezi. Kuna dada kaibiwa jana, nikamwambia aende idara fulani maana connection ipo kiasi na wamesema asubirie maana yake wanaweza.
 
na pesa ya kufuta kesi
emoji23.png
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom