yahoocom
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 331
- 380
WAandugu habarini nimeibiwa simu aina ya sumsang J5 grand prime. Nimeripot kituo cha police na kufungua jalada la uchunguzi. Nina IMEI namba za hiyo simu. Kikubwa nilipapuliwa na Boda Boda wakati npo nnaongea. Nnaombeni ushauri na namna nnaweza ipata simu yangu. Natanguliza shukrani