SIMU IMEIBIWA

SIMU IMEIBIWA

mkuu kama simu iliibiwa na gps ilikuwa ipo off na data off, je hiyo device manager itaonesha
Gps ikiwa off zipo njia za kuonyesha location ila sio sahihi kama gps. Ila kama data ipo off ni ngumu kuonyesha.
 
mkuu kama simu iliibiwa na gps ilikuwa ipo off na data off, je hiyo device manager itaonesha
Pole yake! Ila, simu hiyo ILIIBWA, sio KUIBIWA! KUIBIWA, ni baadhi ya vitu vya hiyo simu KUIBWA. Mfano, Betri, Memory Card, Line nk, lakini simu yenyewe ipo. Hapo aliyeibiwa ni MWENYE SIMU, na sio SIMU IMEIBIWA!
 
WAandugu habarini nimeibiwa simu aina ya sumsang J5 grand prime. Nimeripot kituo cha police na kufungua jalada la uchunguzi. Nina IMEI namba za hiyo simu. Kikubwa nilipapuliwa na Boda Boda wakati npo nnaongea. Nnaombeni ushauri na namna nnaweza ipata simu yangu. Natanguliza shukrani
Polisi watakusaidi japo huwa inachukua muda sana
 
Jipange kanunue nyingine boss..fanya kama sadaka tu na pia utapoteza time kuifatilia..kama vitu (data )zako hukuwa unasave walau google drive ndo shida.
 
Pole yake! Ila, simu hiyo ILIIBWA, sio KUIBIWA! KUIBIWA, ni baadhi ya vitu vya hiyo simu KUIBWA. Mfano, Betri, Memory Card, Line nk, lakini simu yenyewe ipo. Hapo aliyeibiwa ni MWENYE SIMU, na sio SIMU IMEIBIWA!
Siku nyingine unapoandika tumia lugha moja tu, sio kutuchanganyia lugha mbili tofauti, VITA INAMALIZWA NA VITA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom