Simu ilikua kwa fundi

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
37,958
Reaction score
117,313
Wakuu hope mpo poa,

Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes"

Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi,

Naanza na hii,

Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi,

Twende kazi......
 
Simu ilikua kwa fundi ndio maana nikawa sikujibu sms zako ila hela bado inahitajika ya matengenezo
Ahsante nauli na ya kutolea nimeiona ila kwa kuchelewa, simu ilikua kwa fundi.....


(Siji tena)
aisee jana simu ilikua kwa fundi sikupatikana siku nzima
πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†
Your browser is not able to display this video.
 
Nitakutumia hela zako kwa Mpesa,simu ikitoka kwa fundi coz mpaka sasa hivi sijamlipa fundi japo simu imesha pona!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…