Wadau,
Nauza Simu aina ya HUAWEI Y210D (Dual Sim/Double Line), na ina wiki moja tu toka niifungue kwenye box lake.
Moja ya sifa zake ni kua unaweza ukaitumia kama Modem ya kawaida au "Wireless Modem" kwa computer zenye access ya wireless connection.
Inakubali Line za mitandao yoyote,
Simu inakuja ikiwa full (Simu + Battery + USB Cable + Charger + Earphone)
Bei yake ni Tshs 170,000/=
Kwa ajili ya specification zake, unaweza kufungua link ifuatayo Huawei Ascend Y210D - Full phone specifications
View attachment 136900
Contact; 0768 87 56 59