richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,026
Na hii
Simu gani?
Samsung s10+Simu gani?
Huyu jamaa ana mabei mno,inashangaza sana yani.Kamtembelee huyu jamaa twitter hautakosa kitu roho inapenda[emoji39]
View attachment 2319488
inapata moto ikitumika mda mrefuShngapi hii?
Hii Redmi ambayo utainunua Tigo Shop inasoma line zote?Infinix 12i haina issue mkuu Helio A22 kimeo.
Kama unaweza kuongeza mpaka 280,000 cheki Xiaomi redmi 9 Tigoshop simu nzuri sana kwa hio budget.
Hio Samsung A03 pia sio mbaya, iwe A03 lakini na sio A03s ama A03 core maana hizo mbili hazifikii A03 kwa perfomance.
Incase huna 280,000 hio redmi 9 inakuja na GB za bure, mtu akuongezee hela Uza GB zako.
Majina yakariri kama yalivyo kuna Redmi 9A na redmi 9C sio hizo iwe redmi 9 plain bila chochote.
Ndio mkuu zinasoma line zote, labda wabadili karibuni.Hii Redmi ambayo utainunua Tigo Shop inasoma line zote?
xiaomi gan hyo? Na je hzo font ni default au umeiroot smu?Hizo font zinapatikana pia xiomi, mi ndo natumia hapa
Ingia play store shusha zfont 3 kisha fuata maelekezo ule burudanixiaomi gan hyo? Na je hzo font ni default au umeiroot smu?
Helio A22, haina issueWataalamu Naomba uchambuzi hapa View attachment 2379044
Redmi 10C na redmi10 ipi nzuri?Hiyo Redmi 10C ni moto sana, jitutumue uichukue mkuu..
Ni noma nina miaka miwili natumia hiiIngia play store shusha zfont 3 kisha fuata maelekezo ule burudani
Achana nayo, chukua vivo y01 ule mema ya nchi kwa 200kWataalamu Naomba uchambuzi hapa View attachment 2379044
10cRedmi 10C na redmi10 ipi nzuri?
10c ni nzuri kama unapenda picha quality kiasi itakufaa hii na charge inakaa mnoRedmi 10C na redmi10 ipi nzuri?
Mbona 10 bei kubwa kuliko 10c?10c ni nzuri kama unapenda picha quality kiasi itakufaa hii na charge inakaa mno