Simu gani nzuri kwa bajeti ya laki 2?

Simu gani nzuri kwa bajeti ya laki 2?

Mbona 10 bei kubwa kuliko 10c?
Kwa sababu aina ya screen (Full HD na refresh rate 90Hz), pia redmi 10 ina depth & macro camera, ina stereo speakers, Lakini 10C ni nzuri kwenye mambo kama CPU, Storage Type, picha nzuri zaidi
 
Infinix 12i haina issue mkuu Helio A22 kimeo.

Kama unaweza kuongeza mpaka 280,000 cheki Xiaomi redmi 9 Tigoshop simu nzuri sana kwa hio budget.

Hio Samsung A03 pia sio mbaya, iwe A03 lakini na sio A03s ama A03 core maana hizo mbili hazifikii A03 kwa perfomance.

Incase huna 280,000 hio redmi 9 inakuja na GB za bure, mtu akuongezee hela Uza GB zako.

Majina yakariri kama yalivyo kuna Redmi 9A na redmi 9C sio hizo iwe redmi 9 plain bila chochote.
Kwa bajeti ya 260K unanishauri nichukue simu ipi ambayo ram imevuka 2 ,Storage 64 na betri kuanzia 3000 na kuendelea ..
 
Simu nzuri kwa mpangilio

Xiaomi redmi 10C kwa 310,000
Xiaomi redmi 9 kwa 280,000
Samsung galaxy A03 kwa around 250k

10c na 9 hizo redmi zinapatikana Tigo ila naona zimeanza kuwa adimu, Tigo saba saba wanakua na ofa miaka yote ushauri wangu wiki hii na inayokuja usikae mbali na Page ya Tigo za social network ukipata moja wapo sio mbaya, pia siku hizi wana redmi 12C ni nzuri pia kama unakosa 10C.

Samsung A03 (sio A03s wala A03 core) ni nzuri nayo, sio Nzuri kama hizo huko juu ila upatikanaji wake ni mrahisi.
 
Shukrani sana , vipi hizo simu ukibadilisha line tofauti na Tigo itakubali ,maana mimi ya line ya Tigo ninayo ila siitumii kwa sana.

Halafu vipi kuhusu Pixel na Sony ubora wake ni nzuri ?
 
Pixel na Sony unapata mtumba tu kwa hio budget huwezi pata mpya.

Kwa Ninavyofahamu Xiaomi za Tigo hazina lock, unatumia mitandao yoyote labda wawe wameanza karibuni kuweka lock
 
Kama hivyo basi vizuri ngoja nisake Tigoshop ,vipi na hizo zinakuwa nzuri kutumia ?
 
Chief naomba kuuliza Oneplus 13s ni worth kununua kwa tsh 1500,000
Kipaubele ni simu yenye size dogo lakini battery iwe zuri pia perfomance iwe zuri.

Ushauri wako chief.
 
Mimi pia nasubiria huu ushauri kwani ni mpenzi pia wa simu zenye size ndogo kwa budget ya 350k hadi 400k

Back
Top Bottom