Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,151
- 1,451
Hapati Kwa hiyo hata ya GB 64 labda Kwa mtu mwenye shida mno Napo anaweza asipateRedmi 10C
Hutajutia
Hapati Kwa hiyo hata ya GB 64 labda Kwa mtu mwenye shida mno Napo anaweza asipateRedmi 10C
Hutajutia
350-420TshHiyo Redmi 10C ni moto sana, jitutumue uichukue mkuu..
Asante japo mi napendaga sana zile font za samsung ktu ambacho kinanfanya nipende simu za samsung japo naogopaga kioo cha samsung kikipasuka ni bei ghari sanaZa Xiaomi mkuu hazina lock, unatumia mtandao wowote line zote mbili. Ila zipo zenye lock brand nyengine.
Vioo vya bei ni vya amoled, Samsung zenye lcd vioo sio bei.Asante japo mi napendaga sana zile font za samsung ktu ambacho kinanfanya nipende simu za samsung japo naogopaga kioo cha samsung kikipasuka ni bei ghari sana
Sawa sawa nimekuelewa mkuuVioo vya bei ni vya amoled, Samsung zenye lcd vioo sio bei.
Chief, kati ya hz smu mbili ulizoztaja ni ipi inakaa na chaji mda mrefu, camera nzuri na haisumbui kwny kushika mtandao mana kuna cmu nyngne ukitoka tu nje ya mji basi laini hazisomiVioo vya bei ni vya amoled, Samsung zenye lcd vioo sio bei.
Simu zipi?Chief, kati ya hz smu mbili ulizoztaja ni ipi inakaa na chaji mda mrefu, camera nzuri na haisumbui kwny kushika mtandao mana kuna cmu nyngne ukitoka tu nje ya mji basi laini hazisomi
Redmi 9 na samsung A03Simu zipi?
redmi 9 all around nzuri zaidi kuliko A03Redmi 9 na samsung A03
sawa asanteredmi 9 all around nzuri zaidi kuliko A03
Hizo font zinapatikana pia xiomi, mi ndo natumia hapaAsante japo mi napendaga sana zile font za samsung ktu ambacho kinanfanya nipende simu za samsung japo naogopaga kioo cha samsung kikipasuka ni bei ghari sana
Shngapi hii?
270boss, Maongez yapo.Shngapi hii?
Mkuu nina Samsung s10+,nimevunja kioo,Vioo vya bei ni vya amoled, Samsung zenye lcd vioo sio bei.