Simu gani itanifaa Kwa laki tatu na nusu

Simu gani itanifaa Kwa laki tatu na nusu

David Goliath

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
949
Reaction score
1,893
Heri ya Krismas wapendwa, ninahitaji kununua simu mpya kutokana na kipato changu ninahitaji simu ya laki tatu na nusu, yenye uwezo wa kukaa na charg, kamera nzuri, na uwezo mkubwa wa kuhifadhi data naomba ushauri wenu Mimi siyo mtaalamu Sana kwenye mambo ya simu,
 
Nadhani VIVO Y20 itakufaa, kwangu hii ni ya kazi kweli siyo kutuma sms na kupiga call, NO ila kazi.
 
Nunua Google pixel babu. Pixel 3 used mbona unapata kwa Io bei. Na amini hutojuta
 
Hata mm natafuta simu nzuri....
Ambayo haistuck kijinga....haumudu kufanya vitu kwenye internet muda mrefu ni kuchemka tuuuu....jinga sana...iwe na uwezo kwenye internet
 
Hata mm natafuta simu nzuri....
Ambayo haistuck kijinga....haumudu kufanya vitu kwenye internet muda mrefu ni kuchemka tuuuu....jinga sana...iwe na uwezo kwenye internet
Iwe multitask kwa muda mrefu....kuscan...kudownload big files and videos...iweze kusupport android brouwse nyingi....
 
Back
Top Bottom