Umekuwa umeme wa kuchajishia simu tu

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,717
Kama kila siku unaondoka saa 12 asubuhi na kurudi saa 4 usiku.

Tutafanyia kazi gani sasa? Zaidi ya kuweka simu tu zipate chaji ili kesho tupate tu hata mawasiliano.

Ni serikali gani hii ya ajabu isiyemjali mwananchi ambaye kutoka kwake ndiyo kula kwake.

Haya yote mtaenda yajibu kabla ya mwaka 2099 tukutane paradise
 
Umeme unakatika nimelala unarudi nimelala yani mimi na umeme tunapishana. Unakatika saa kumi na moja asubuhi nakuwa bado nimelala usiniulize kwanini tusipangiane maisha, unarudi saa Sita usiku nakuwa tayari nishalala hata afukoni naangalia matokeo livescore.com
 
Maajabu ya nchi hiyo hayaishi umeme umekua anasa kama kunywa chai vile, sukari bei juu bia bei ya chini.
 
Niliacha kufanya kazi zangu mchana sababu umeme haueleweki nikawa nakesha usiku kuanzia saa sita mpaka saa nane

Ajabu wanakata umeme siku hizi mpaka Muda huo

Kibaya zaidi wanakata na kurudisha kwa style ya kuharibu au kuunguza vifaa
 
Back
Top Bottom