Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,926
Tafuta iPhone 13v zinazotengenezwa Bujumbura , zinauzwa laki na nusu.Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi.
Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri wenu kwa kuzingatia.
1. Ukaaji wa chaji
2. Fast Internet
3. Best Pictures
4. Memory kubwa pia
Tusizungumzie Samsung, Apple n.k hizo hapana. Nahitaji hizi za kichina kama Xiomi, Real Me,Vivo, Oppo and the like. Ukiacha za Tecno,Infinix,Itel hizo hapana.
Nawasilisha pia picha mnisaidia kuchagua kwa utaalamu wenu
View attachment 2012000View attachment 2012002View attachment 2012003View attachment 2012004View attachment 2012000View attachment 2012002View attachment 2012003View attachment 2012004
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app