Simtaki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simtaki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tetra, Oct 17, 2012.

 1. T

  Tetra JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Miezi michache nilikuwa kijijini ambako rafiki yangu alinifuata kuniomba ushauri kuhusu mpenzi wake(demu) kuwa na mimba ambayo hawakuitarajia,hawa wapendanao.Ushauri wangu ulipingana bila huruma na kitendo cha kutoa mimba,,LAKINI siku chache baadae tulishuhudia kichanga kilichotolewa na kutupwa kwenye mawe milimani.Kilikuwa kimekufa,Kinanuka,Kinasikitisha.Binti aliyetoa mimba hiyo (mpenzi wa rafiki yangu),alibainika na alipoulizwa alitamka "SIMTAKI"..Roho iliniuma maana mbali na kuwa ushauri wangu ulipuuzwa ila pia rafiki yangu alitoroka na kakata mawasiliano,,Si jambo rahisi kuikabili aibu na hofu aliyonayo binti huyu,Si rahisi kukabili peke yake matokeo ya kitendo ambacho kingekabiliwa na watu wawili.Inahitaji moyo mkuu.Labda ndugu wana JF tubadilishane mawazo ni nani anasitahili kubeba hatia ya Kutoa mimba? Maana baadhi ya wanaume neno "SIMTAKI" hulitumia anapokataa mimba hadi mpenzi wake humkataa.
   
 2. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  dah! dunia imekwisha SIMTAKI, alikuwa hajui atapewa mimba.?
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya kutokuwa responsible na hii inasababishwa na malezi mabovu kwa wote mpewa mimba na mtoa mimba.it takes 2 to tango.mtu akienda peku anafahamu fika kuna maradhi ya zinaa,kuna mimba zisizotarajiwa lakin pamoja na kufahamu hayo stil anacheza peku.katika mazingira kama haya unadhani alaumiwe nani?na baada ya lawama then what next?jambo la msingi ni kuwapa vijana elimu ya kujitambua na kutake responsibility for their actions.hii itapunguza mauaji ya viumbe wasio na hatia.
   
 4. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wote wanapaswa kulaumiwa,eti mimba isiyo tarajiwa kwani aliipata kwenye maji ya kunywa !fool
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa nawalaumu wanawake. Wakati unapepea mguu hewani ulikuwa unategemea muujiza gani? Huyo dada akipewa urais atakuja kuwa kama rais wangu wa sasa!
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  King'asti una maanisha nini hapo kwenye rangi nyekundu?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haaaaa simtank alikua anaona utaaaaamuuuuuu
   
 8. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaonesha ni jinsi gani baadhi ya watanzania wako nyuma kielimu muhimu hata hivi za kijamii na kujamiiana
   
 9. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Inaniuma sana, tena saba kusikia mtu ametoa mimba. Nasema inauma kwa kuwa kama si ujasiri wa mama yangu mzazi(Devotha Chuwa) ningekuwa mfu kabla ya kuzaliwa. Mimi nilisalitiwa na baba yangu hata kabla ya kuzaliwa, hivyo mama alisimama kidete, licha ya shinikizo na umasikini uliopindukia, kukataa kuniua mimi ningali tumboni. Eee Mungu nijalie hekima na mali ili niwe fahari na kufuta machozi ya mama yangu aliyoyatoa nyakati za taabu ili kunilea mimi.
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm....well 100% lawama kwa mwanamke
  kweli jamaa alikuwa **** kuduu bila ndom. mwanamke anapaswa kujua kuwa mwisho wa siku ni wewe utakaye beba hiyo mimba na sio mwanaume na wewe ndio mwenye final say ya ku abort au kubaki yao.

  kama mwanaume hajakwambia kuwa anataka kuzaa na wewe basi wanawake mjue kabisa huyo hayupo tayari kuwa baba. kumega peku ni kwa sababu ya utamu wa tunda. usitumie hiyo kama kisingizio ah anaenda peku kwani hajui naweza pata mimba. ndio anajua kuwa unaweza na pia unaweza amua kuyoshika mimba. la msingi ni shika mimba pale tuu mwanaume kasha kuoa na amesema anataka kuwa baba
   
 11. m

  maisara Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kutoa mimba hakukufanyi uonekane hujazaa. kwa mwanamke una kuwa mama wa wa mtoo aliye fariki tena uliyeshiriki kumuua. hata ww kaka mwenye huo ujauzito
  bd utabaki kuwa baba wa marehem na pengine umeshiriki kwa namna moja ama nyingine ktk mauaji ya mwanao mwenyewe.

  afu mbeleni sasa unasumbuka kupata mtoto huku ukimlaumu mkeo hazai na ww unajisifia unakizazi ushawahi kumpa mtu mimba ujanani

  unasahau kilio cha huyo mtoto nadam yako mwenyew ulivyo vikatisha uhai bado vipo hai. ww.ndugu zako wasio jua lolote mnampa lawama mwanamke asiye na hatia.

  upozini kabla ya ndoa au nje ya ndoa bila condom tegemea mambo mawili, mimba au ukimwi ama vyote kwa pamoja, nistarehe ya muda mfupi lkn inaweza kukugharimu maisha yako yote.
   
 12. m

  maisara Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko sawa mkubwa make wadada wengi tu ckuizi akishaona mwanaume ana mweleko awe mume wa mtu au siyo anajitegeshea mimba ili aolewe matokeo yake nikuongeza idadi ya watoto wa mitaani.
   
 13. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mimi wala sina haja ya kutoa mimba, mwanaume kanikataa na mimba kaikataa, wala silii na kusononeka, nalea mimba yangu vizuri na Mungu atanisaidia tu nitazaa salama (bahati nzuri mimi huwa natoa fotokopi za baba mtoto, alafu mahendsamu/beautiful wa ukweli). Baada ya hapo ntalea mtoto wangu na nitajitaidi uyo jamaa amuone mtoto alivyo copy yake, then ntamsubiri alete ngongoti zake(miguu) kudai mtoto, hapo ndo atakapojua kwa nini naitwa WALIMWEUSI!!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  mwenye kosa ni mwanamke na huyu ameshndwa majukumu yake ya kama mwanamke. kwani anataka kutuambia kwamba kwa kauwa mjamzito alitegemea ije siku huyo mwanaume amsaidie kuibeba? je alitazamia ije siku huyo mwanaume amageuze mtoto wake amlee kama mtoto?

  je alipojiachia huku akilia kwa utamu mpera ukipigwa alijua ni nini? ama ulikuwa ni.................
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Namaanisha hiviiii, i am only responsible for what i say, not for what you understand. Karibu vietnam, hali shwari siku hizi tunabembea tu.
   
Loading...