Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Tukio ni lakwako ww au unamzungumzia mwingine
 
Daaa nlieahi kuwa na dem mke wamtu alikuwa akiingia kuoga bafuni ananipigia vireocall anaweka dirishani anaoga nikiwa nmwona hadi anamaliza. Akirudi ananipigia video call mmewake akiwa uchi wa mnyama namwona pia
Hawa viumbe aisee..
 
upumbavu wa namna hii unawasumbua ke wengi sana, lakini kwa maelezo haya majuto yapo karibu yako, utaenda kwa huyo kapuku baada ya miezi 2 akili itakua imekukaa sawa
 
Unachotafta utakipata, usianze kulalamikia maisha unayoyatafta
 
Una tatizo kubwa sana dada. Ni tatizo la kiroho, unahitaji neema ya Mungu lasivyo utaangamia.
Nakushauri tafuta huduma ya maombi/ dua.
Pili kata mawasiliano na wa zamani. Utaharibu sana. Utaharibu kabisa.
Umefanya kosa maana umefunga ndoa na pesa sio ndoa na mtu na dhamira yako itakuadhibu sasa usifanye makosa zaidi utaharibu zaidi.
 
Nafanyaje Sasa? Nikatae matakwa ya dhamira?
 
Asante mkuu
 
Hiyo hali ni ya kawaida kwa kipindi hichi cha ujauzito. Baada ya kujifungua uatarudi katika hali yako ya kawaida. Utajisikia kumpenda na kumfurahia mumeo kama awali. Ni kipindi cha mpito tu.


JESUS IS LORD!
 
Pima mimba
 
Hebu tulia kimya kabisa kwa zaidi ya dakika 30,baada ya hapo soma haya maelezo yako kwa makini sana baada ya hapo tafakari je unachofanya ni sawa?
Kama akili yako itakutuma kuwa unafanya sawa,basi muombe talaka mmeo acha kumsumbua bure,na kama ukigundua una makosa,muombe radhi Mungu wako,kwa uovu unaoufanya
Kumbuka hayo unayomfanyia,ndio atakufanyia huyo mchepuko wako,mara tu ukiachika na kumfata,na hapo sijui utamlilia nani
 
Kuoa au kuolewa si swala la kila mtu wengi wetu tunalazimisha tu!,

Wewe shida ndiyo zimekufanya uolewe ila sio mtu unafaa kuolewa , fanya mambo mengi ili upate pesa ila si kupitia hisia za mtu...
 
Vumilia utazoea tu. Hata sisi tulipojenga na kuhamia mtaa mwingine tuli miss sana mtaa wa mwanzo kila siku tukawa tunashinda huko ila hivi sasa tumezoea mtaa wa kale tunaupita mbali sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…