Simsikii tena Kinana, Mzee Mangula, kunani?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Kuna mdau ametoa Uzi wake humu akidai hawasikii Tundu Lissu, Kabwe Na Mbowe napenda kumwambia wapo hao ni wapiganaji.Mie pia ninapenda atuambie waliko kina Kinana Na Mzee Mangula maana wamekuwa kimya kama vile wamesafiri safari ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom