Mdogo.wangu Paula Paul hiyo avatar ndiyo wewe mwenyewe?The Simpsons is my favourite show.
Ni kweli kuna mambo mengi ambayo yanatokea kweli, japo mengine ni photoshop kwa sababu hayapo kwenye episode yoyote.
I wouldn't be surprised if we found out the writers or whoever made the Simpsons are real time travelers tho I still don't believe in time travel.
Kuna episode ambayo Lisa was elected president to fix what trump did. Ngoja tuone labda ni uchaguzi huu.
chaliifrancisco naomba idea yako juu ya time travel. ELI5
Ndio Yaka. Unanifahamu?Mdogo.wangu Paula Paul hiyo avatar ndiyo wewe mwenyewe?
Hahaha hapana sikufahamu.Ndio Yaka. Unanifahamu?
Naona umeamua kujipa 'maukubwa'.
Paula long tym bibiee!!!! Sijui lini ntakuonaNdio Yaka. Unanifahamu?
Naona umeamua kujipa 'maukubwa'.
Woow!! nimekupenda bure so wadada wa mtaani kwetu wenyewe show za kina mwantumu ndo wanajua huwezi hata kukaa kupiga nao storyThe Simpsons is my favourite show.
Ni kweli kuna mambo mengi ambayo yanatokea kweli, japo mengine ni photoshop kwa sababu hayapo kwenye episode yoyote.
I wouldn't be surprised if we found out the writers or whoever made the Simpsons are real time travelers tho I still don't believe in time travel.
Kuna episode ambayo Lisa was elected president to fix what trump did. Ngoja tuone labda ni uchaguzi huu.
chaliifrancisco naomba idea yako juu ya time travel. ELI5
Ninavoandika vinafanana na hiyo picha?Hahaha hapana sikufahamu.
Naona namna unavyochangia michango humu. Honestly, upo simple, frisky, charming na unaandika ngeli nzuri. Furthermore you seem down to earth. I heart you dear!
Kuhusu umri hahaha Paula I know mimi ni mkongwe we amini tu huna namna. Usione haya tunayochangia hakuna namna inabidi twende kasi ya vijana.
Niambie tuu upo wapi nije kukutembelea.
Asante Below 40.Woow!! nimekupenda bure so wadada wa mtaani kwetu wenyewe show za kina mwantumu ndo wanajua huwezi hata kukaa kupiga nao story
Kabisaaa! Vinafanana sana!Ninavoandika vinafanana na hiyo picha?
Nimefurahi kusoma haya, Yaka.
Asante sana, kama kwa maandishi tuu mtu anaweza kuona baadhi ya vitu vizuri kwangu. Ni furaha sana.
Napenda sana kupokea compliment kama hizi.
Have a blessing.
πππππAsante Below 40.
Show za kina mwamtumu ndio zipi kama hautojali?
Basi tuwe tunapiga story wote za The Simpsons na Futurama.
Nime generalize show za kiswahili bongo movie sijui vitim tim na vitu vingine kama hivyo au udaku wa instagram
Uncleben upo sahihi kuangalia kwa umri huo.
Duh asante umenikumbusha futurama sijacheki kitambo ila bado nikikumbuka kina Dr farnsworth na robot nacheka mwenyewe.Basi tuwe tunapiga story wote za The Simpsons na Foturama.
Hadi American Dad? Nimefurahi sana.Duh asante umenikumbusha futurama sijacheki kitambo ila bado nikikumbuka kina Dr farnsworth na robot nacheka mwenyewe.
Hata American Dad na Family Guy pia ziko poa