Duuh..kweli na upofu/uziwi unahusika....na kashkash zote za Somalia, lakini bro unaamua kujipeleka hivyo hivyo....Ngoja tukutafutie ya Turkish nafikiri walianza safari zao huko, vinginevyo katiza hapo kwa jirani Otorong'ong'o...

Mwanamke sio uso tu, hao walioonyesha uso wangeonesha na sehemu zao za kusisimua kama hiyo nyonga ...tungeongea mengine. Mhabeshi vi-dimple lakini huko chini amejaaliwa? wengine huwa pasi ya mkaa tu chini...
baada ya kusoma comment yako ndio naona hizo kope,weaving na urembo mwingine....mimi nilipofungua hizo picha niliona nyonga tu....mtanzania kawawakilisha dada zetu vizuri.
Wachunguze washiriki wote hapo pichani...hakuna aliye natural hata kidogo. Ni wazuri ila urembo umewafanya waonekane wazuri zaidi na mvuto zaidi. Amini ni vigumu sana mwanamke kusifiwa mzuri asipokuwa na urembo uliyopangiliwa.