Simplicity nimerudi

Status
Not open for further replies.

Mkuu karibu sana jukwaani kwa mara nyingine tena.... Naomba nikusahihishe katika ID yangu. Hiyo Charminggirl ilikuwa ID yangu ya zamani but ilileta shida fulani nikauomba uongozi nibadili na ukakubali kubadili na kumerge post zangu. So naomba uedit uzi wako!
 
Last edited by a moderator:

Poa mkuu.
 
karibu mkuu bestito nilikumisije? mpaka nikataka nije huko mwanalumango walikokuficha Simplicity nikadhani umesha😛eep:

karibu mwaya karibu sana na nitakuingiza katika ile tamthiliya yangu ya Fumbo la Maisha iko kule mmu
 
Last edited by a moderator:
heee mkuu unataka balaa lingine likuzukie heee angalia hii hasira isijekuwa ya mkizi bestito

wewe huwajui mamodsa wa sasa hivi ni wa kidigitale ukikohoa kidogo tu wanakung'uta :ban: sasa hapo ole wako uwatolee hewa nyingine watakulima ile mbaya yaani mwaka kwao ni kama nusu dk angalia bestito yasijekukuta tukakumiss tena halafu kuna huyu mwenye namba 6 huyu ndo balaa kabisa wala usimtajemtaje wewe nong'ona kama mm hapa nilivyonong'ona asije kuleta :third: ukakosa kuangalia nusu fainali ya BRAZIL leo haya nisijesema sijakwambia miye nshatua :A S crown-1: kwako nakukodolea :A S-eek: kwa mbali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…