Simpendi tena na wala simuamini tena

Simpendi tena na wala simuamini tena

Simuamini wala simpendi tena mwanaume wangu nimekuwa nae katika mahusiano huu mwaka wa3 sasa aliniomba anioe nikamkubalia.

Tatizo likawa upande wa dini kwakuwa nilimpenda sana sikuona tatizo kuwa Muislamu hata
 
Ingekuwa kibonde hapa angesema,

Graceeeeeeeiiiii....iii
 
alivyoanza kz vikaanza visa ugomvi usio na sbb simu akaweka pswd siku moja nikakuta sms kwenye simu yke za mwanamke mwingine za mapenzi niliumia sn lkn ajabu hakuwa karibi yng kunibeleza wala hakuonyesha kujali sana alipokuwa akiniona nalia yy anache

unavyoelezea unajua hadi umesababisha nicheke utafikiri mazuri
 
Mbona kama kuna ka mgomo kanaendelea yaani ya usafiri hayajaisha na huku tena.
 
Huyu mzushi
Mbona anakwama kwama kama anajibu txt za jamaa ake na disign wanarudiana ndo maana anashindwa malizia.
 
Mbona hukuolewa na wa dini yako kipindi uko chuo ukiishi mitaa ya Sinza? Au hukumpenda?

Pole....malizia story

Sent from JamiiForums
 
Mdada story yako haijakaa sawa lakini ngoja nikupatie ushauri wangu,

Wakati mwingine fuata ushauri wa wazazi wako maana wazazi ndio mungu wa pili, lakini mbona mi naona unakoelea namaanisha hiyo dini ya mpezi wako inaruhusu yeye kuwa na mwanamke zaidi ya moja sasa wivu wa nini kama mwenye umekubali kuingia huko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom