Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Huyu mdogo wake na hanei wangu, huwa anapenda kufuatilia issue zangu kila kukicha. Mara kwa mara ugomvi wetu na dada yake yeye ndio chanzo au kichocheo, kosa hanei wangu akiliona dogo akilijua yeye litakuwa kubwa, ka kosa kidogo hata dada yake akisamehe yeye anaendelea kuninunia hadi nimuombe msamaha na yeye. Ningeweza kumpotezea lakini kwa bahati mbaya hanei kwao wamezaliwa wawili tu na huyo mdogo wake wanapenda sana. Njia zote za kumkwepa huwa zinaleta ugomvi kati yangu na dada yake. Kuna watu waliambia labda kwa kuwa hana relation ya maana ndio maana ana tym ya kutufuatilia sisi, wengine wakasema na yeye ananitaka hivyo kuondoa dhahma nimmege, kummega ni out of options maana nampenda sana dada yake akiniacha naweza data.Nimejitahidi kuficha chuki yangu lakini naona kama ninajiumiza tu, sasa sijui nimtafutie mpwa mmoja amuweke busy asitusmbue.