HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zoteSa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?
Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?
Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Siwapendi hata kidogo etVipi ubeberu unaupenda?
Kumbuka mabeberu ndio yenye pesa.
Kumbe shoga angu[emoji23][emoji23][emoji23]pole, ila sisi huku kwetu sunna.
Halfu wewe jibaba unaletaje comprasion na mwanamke wewe uko vipi kwani?Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?
Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?
Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Ndio hivyo shoga, nasisi wenyewe twazipenda hatari, twazichezea tu 😂😂😂
[emoji3][emoji3]mimi naona kama zinaniumizaga nikichezea na hii Corona akeNdio hivyo shoga, nasisi wenyewe twazipenda hatari, twazichezea tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru kwa ushauri huu muruwa kabisa. Tena huyu mwanamke ajue kuwa, Mwanamume ni ndevu. Kama anawataka wasio na ndevu nadhani ana kakasoro fulani hivi. Huwezi kurudia rudia bure kuwa hupendi hata kuziona. Labda ana kahisia ka usagaji mahindi hivi.Wenzio ndio huona fahari kumpata mwenye ndevuSa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?
Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?
Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
[emoji3][emoji3][emoji35]Haa shoga ake mimi sizipend mm najua nyie ni wale wa kuzamiwa.......Ndrevu sunna
Maana znasaidia kuleta nanii hata kabla ya nanii haijaamua kuanza ku nanii
Ah sio lazima niandike vyote.
NDO NIMESHASISITIZA TAYARI MKUU ETRudia tena kusisitiza kwa HERUFI KUBWA ili ueleweke zaidi!
😂😂😂asiyejua maana,haambiwi maana shoga.[emoji3][emoji3]mimi naona kama zinaniumizaga nikichezea na hii Corona ake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]anazamia meli au nn[emoji3][emoji3][emoji35]Haa shoga ake mimi sizipend mm najua nyie ni wale wa kuzamiwa.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kaniambia tofauti na Ile niijuayo..Shoga kazi yake unaijua lakini?!!!