...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!
Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
mi naomba kutofautiana sana na wewe, mi nampenda @FaizaFoxy kupita maelezo, hata yeye analijua hilo...i wish nimtunuku siku moja...nikiona post yake natokewa na gusbumps :A S-fire1::A S-fire1:
yeah kwa swala la hyo Dada ff naona kama wengi wanammind but lazma atakua ni tatizo somehow!!Lakini kumchukia syo ishu we cha kufanya we Fanya yako achana nae.Na kama washakwambia ni kikundi Dont bother !!Acha wafanye yao but time will tell