Simpangii Rais ila Angellah Kairuki is Unfit, Coward, Lier anahitaji kupumzika

Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.

Taarifa ya vyeti feki ipo na inashughulikiwa na Mamlaka au taasisi husika baada ya kupewa majibu kuhusu watumishi wao we unataka ujue nin hapo
 
huyo alikuwa unfit tangu alipokuwa attorney general, sura tu hapo ndio imempa cheo lakini utendaji siku zote ni dhaifu.
 
Wanasema awamu hii ukicheza nje ya beat unatumbuliwa, huwezijua pengine yeye alishatekeleza majukumu yake tatizo mzee!
 
Hebu tuambie kwanini hatumbuliwi?
Kuna kitu kinaitwa Opras. Yaani Utumishi wanajidai kutumia lakini si kweli. Wanapeana vyeo wao tu Watumishi wengine tumejaza 10 years ago todate hakuna faida yake. Ukisoma vtabuni/darasani ni zoezi mzuri lakini kwa Utumishi ni na kuwapa Per diem maboss! Opras ni kupoteza karatasi Na muda!
 
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.
Wasukuma hupenda sana wanawake weupe
 
Angellah Kairuki ni Kati ya majembe serikalini acha kabisa. Yule mama ni very strong acha!
 
Kumbuka jamaa kasema "hapangiwi"

Yaani hakuna kwa kumuelekeza wapi apite

Nani akae wapi na nani akae wapi

Kwa kifupi hahitaji kushauriwa

Yaaani hashauriki haambiliki

Upo
 
Back
Top Bottom