Simpangii Rais ila Angellah Kairuki is Unfit, Coward, Lier anahitaji kupumzika

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.
 
Wewe tangu hii awamu iingie madarakani umeshaona kuna mwanamke mweupe wa rangi kama Kairuki katumbuliwa??? Wanatumbuliwa wakina cheusi mangala tuu...kabila la kina paskali njaa kwa mwanamke mweupe bora achinje mwanae
Kilango
 
Rais akitengua uwaziri wake si na yeye mtamuita shujaa kama nape(huyu huyu aliyekua anatukanwa humu kisa bunge laivu)
 
Uyo Wamemfanya Kitoweo..amekuwa kipumziko chao....wanasemaga sio mchoyo
 
Halafu kuna watu wanatokwa mapovu na mishipa ya shingo kuonekana eti waarabu,wazungu,wahindi ndio wanaongoza kwa ubaguzi wakati wa africa ndio wabaguzi namba moja,kiongozi wao ni wewe mtoa post
Wewe tangu hii awamu iingie madarakani umeshaona kuna mwanamke mweupe wa rangi kama Kairuki katumbuliwa??? Wanatumbuliwa wakina cheusi mangala tuu...kabila la kina paskali njaa kwa mwanamke mweupe bora achinje mwanae
 
Huyo mpaka wizara kuhamishiwa ofisi ya rais unadhani mchezo?

Anyway hakuna waziri hata mmoja wa Magufuli aliye waziri bali ni wasemaji wa rais na mamlaka yote ipo kwa rais!!
 
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.
Mkuu Huyo kairuki yupo pale Kama picha anafanya anachotaka mjuzi wa kila jambo, unataka asimamie ukweli atumbuliwe Kama nape?
Kwa ufupi awamu hii Huwezi kumlaumu waziri yoyote. Mkuu Ndio mpangaji wa kila kitu Na yeye mwenyewe kalioongelea Hili tayari.
 
Halafu kuna watu wanatokwa mapovu na mishipa ya shingo kuonekana eti waarabu,wazungu,wahindi ndio wanaongoza kwa ubaguzi wakati wa africa ndio wabaguzi namba moja,kiongozi wao ni wewe mtoa post
Hebu tuambie kwanini hatumbuliwi?
 
Back
Top Bottom