Simpangii Rais ila Angellah Kairuki is Unfit, Coward, Lier anahitaji kupumzika

Watumishi wa umma wamekuwa wakiwa... hata waziri wao haoneshi kuwatetea
 
si huyo tu
simbachawene
february..(kama ana ka mgomo baridi)
na mkuu mwenyewe

hao wote uwezo mdg sana
 
Nampenda huyu dada balaa,,,tukishikana mikono siku moja pale CBE duuuuh aiseee lainii mtamu km mcharo
 
Kwani kairuki ndiye alimshauri RAIS kuchukua form ya kugombea urais?
Kwani kairuki anaweza kuzuia mamlaka ya RAIS ? Kwani kairuki yeye ndiye aliyechaguliwa RAIS?
Yeye mwenyewe RAIS ndiye anayejua kama watanzania wanahitaji kazi au la Maana yeye ndiye anaejua Nani apewe kazi? Wakati gani wa kupewa kazi so ninavyojua kairuki anasubiri amri ya kutoa ajira kutoka kwa mjuzi wa kila jambo la duniani.
 
Serikali haina hela hizo habari za mafunzo maahalumu ni kuwapumbaza watu mpaka 2019. maana ata wakisema wapandishe madaraja watawalipa nini wakati ata 2016 - 2017 buget haijatekelezeka for 50%.
 
Kwa akili yangu ya std 7,nahisi hapa kuna kukomoana maana nasikia watumishi wa Serikali ndo waliochangia uchaguzi wa 2015 ukawa mgumu kwa chama tawala,hivyo huwenda ni malipizo kwa kile walichokifanya ili kuwatia adabu.
Pia ktk maono yangu ongezeko ni kwnye bajeti ya 2018-2019
 
Hii nchi hakunaga vyama vya wafanyakazi? Hawawezi hâta kupinga huu ujinga kwa kutoa kauli? Hii mijitu mioga kwanini inagombeaga uongozi? Kama unajijua huwezi kutetea unaowaongoza yanini kugombea uongozi?!? Bulishiiiiii...
huyu mwanamke zaidi ya weupe na kiburi flani chausiriaz hamna kitu kabisa...nimwongo sana saaana anacheza na maisha yawatu
 
Kabla sijakujibu nikuulize unakubali utendaji wa rais?je ana kasi uitakayo?
Kasi ipi unayoizungumzia, hii ya kuivamia clouds kwa bunduki na kumtengua nape na kumwacha bashite mwizi wa vyeti mzee wa fafafa???
 
Japo na mimi ni mhanga wa hayo... Lkn ngoja nimtetee huyu mama.
Shida kubwa ni mfumo sio yeye.
Hawezi kutoa maamuzi bila kuagiza. Hana maamuzi.
Chukua mfano kwa NAPE.
NI LAZIMA USEME KILE UNACHO TUMWA MAANA UKIENDA KINYUME NITAKUNAPE TU.

Angalia ndalichako wa jk na huyu wa jm hapo utaona kitu
 
Back
Top Bottom