Simon Matheri Ikere: Handsome aliyeitikisa Kenya....!

Asante Mtambuzi, sasa nimeridhika,Dah! Kisa kinasisimua kweli, ila polisi nao walifanya vibaya kumuua, angekuwa ametoka na silaha ndo wangepambana naye,

Asante sana baba Cantalisia hii ya leo imenisisimua ila sikuelewa huyo mdada kuhamia kwa mwanaume baada ya mwezi mmoja tu wa mapenzi aseeee kuna watu wana rohoo duu. Kijino ulitaka huyo jambazi aendelee kumaliza tu watu???yeye ameshaua wangapi mpaka hapo yeye alipouwawa???
 
Last edited by a moderator:
Aiseee...

Wanjiru slept with the enemy japo alikuwa hajui , baba yake ndio chanzo kikuu cha mwanawe kuwa jambazi sugu, kwani alipokuwa hiyo jela ya majambazi sugu nae hatimae akawa jambazi sugu kwa kupata marafiki na kupanga wakitoka waanzie wapi ujambazi, Aaah maskini mama yake, anajuta kwanini alimzaa kiumbe huyo !!! inasikitisha sana hasa kwa watoto wake, haya na huyo alokuwa hajazaliwa ilikuwaje? Thnks Mtambuzi tunasubiri hiyo wiki ijayo ALLAH akituweka hai ... wkend njema
 
alikuwa mtu wa tabasamu.........fake smile wacha kabisa..moyoni madudu ukatili mbaya kabisa.
hawa majambazi hatari huwa wanaishi kwa masharti ya waganga ndio maana alikuwa akikwepa kutumia mlango wa mbele.
 
Duh!inakuaje unafikia mpaka hatua ya kuishi na mtu bila kujua full name yake?anyway thank u mtambuzi kwa kisa hiki..
hii ni rahisi sana hawa watu wana lyfestyle ya ajabu sana tena si tu jina hata kazi yake unaweza usijue...
 
Duh!inakuaje unafikia mpaka hatua ya kuishi na mtu bila kujua full name yake?anyway thank u mtambuzi kwa kisa hiki..

Umeshawahi kuona sinema inatwa "Sleeping with the enemy" ya Julia Roberts na Patrick Bergin... nenda kaiangalie nzuri sana ile movie na ina mafundisho mengi tu.
 
pamoja sana mkuu...kwa mara nyingine tena nimegain kitu ijumaa ya wiki hii kip it up..
 
Thanks Gustavo.

Mh inasikitisha sana.
Mzazi anahusika sana
1. Mtoto kuacha shule bila sababu ya msingi. inaonyesha ni wale wazazi wasio jua hata watoto wao wanasoma shule gani.
Wanaenda shule au hawaendi alikuwa busy na udereva mama busy kanisani
mungu hapendi!lol

2. Ukatiri wa baba kumpeleka mtoto jera na kulisha mvua tano ndio aliomlisisha mtoto wake,
so wanaasili ya ukatiri ikere
3. Kumpeleka jera alimpeleka chuo akakutana na majambazi sugu...

Mh kuna mafundisho mengi hapa,
Wazazi kuwa makini sana ktk malezi kwa kizazi kutopotea
Kuna umuhimu wa serikali kuanzisha jera tofauti kwa makosa tofauti na kwa waharifu tofauti

Ni wazi kabisa jera nyingi za africa watu badala ya kujifunza kuwa raia wema wameenda kuwa wabaya zaidi!
 
Sikupenda sana tabia yake ya ujambazi but siungi mkono kuuwa kwake!
NATA - Nilikuwa nasubiri hili hitimisho,.....................LOL
Leo umechelewa sana kusoma uzi huu, sijui ulikuwa wapi! Nakutakia weekend njema..............
 
Last edited by a moderator:
Y kujiingiza katika hatari ona sasa umeiachia maumivu familia yako iliyo kuwa ikikutegemea! Pole kwa familia yako na mungu akuhukumu kwa matendo yako Amin.
 
Y kujiingiza katika hatari ona
sasa umeiachia maumivu familia yako iliyo kuwa ikikutegemea! Pole kwa
familia yako na mungu akuhukumu kwa matendo yako Amin.

Matumbo ya kina mama yanabeba vingi! Ila polisi wangemkamata tu kama kweli hakutoka na silaha.
 
Ila kumuua live, polisi hawakutenda haki. They sent a wrong message to other criminals
 
Kwa mujibu wa mkewe, jinsi huyo bwana alivyouawa inanikumbusha kisa cha Imran Kombe
 
alikuwa anatabia mbaya kijana huyu duuu! but wasingemkatili uhai wake kinyama ki hivyoooo.......polisi nao wanamisifa ngoja kiama kifike watakoma kwa SIR GOD.
 
mkuu umenikumbusha mbali sana..matheri alikua mdogo sana kwa Zombie...ila troops ya kina matheri ndo ile ya kina Kima na simoni Kimathi ambao wamefungwa moshi....huyu matheri haingii hata kidogo kwa Zombi,Mwamajuja na wengine wa enzi zile mbeya...sasa Hv Zombie umri umekimbia na yupo Zambia alipokimbilia baada ya mkapa kusema lazima afie jela

haitwi Zombie, jina lake halisi ni Said Abinara aka JOMBI
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom