Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,273
- 144,438
Acha uvivu wa kufikiri ndugu yangu, tofautisha siasa na kazi ya mtu...mbona mawakili hao hao ndio mnawakimbilia pale ndugu zenu wakiwa na kesi nzito kama wizi, rushwa, mauaji.....si muwaache waozee jela......kazi ni kazi na siasa ni siasa
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.
kaka ni tag ili nisikose mada hiyoKesho saa tatu kamili kwa Tanzania na Saa kumi kamili jioni Mashariki ya Mbali uliko ndugu Nape Nnauye, MDAHALO utaanza hapa JF,
Vuta subira mkuu, hayo yote huta yasema tena!
Unaweza kumtetea jambazi aliyembaka mkeo au mwanao?
hii yako kali,siwezi kumtetea hata nikiwekewa pisto
kakaHebu imagine, mkeo atakuelewaje endapo utafanya hivyo?
Na je, unaweza kumtetea mahakamani kama wakili jambazi aliyemwibia dada yako?
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KupIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.
Unaweza kumtetea jambazi aliyembaka mkeo au mwanao?
kaka
kikawaida haiwezekani
kakaNdiyo huo unafiki wa Marando sasa.
Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.
Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.
Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.
Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.
Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.
Ndiyo huo unafiki wa Marando sasa.
Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.
Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.
Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.
Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.
Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.
Ndiyo huo unafiki wa Marando sasa.
Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.
Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.
Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.
Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.
Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.
Tatizo lililopo hapa ni kwamba watanzania hawa wa leo niwakufuata mkumbo tu na si waelewa wazuri wa mambo,wao hufuata upepo kama bendera,na hutofautina na mtu ambaye hata fuata upepo huoagreed!!!
Tufikie hatua sasa tuache unafiki na kuweka double standards.... Marando kuwatetea mafisadi mahakamani haiendani na falsafa ya chadema
I cant imagine leo anamtetea fisadi, kesho fisadi anashinda na kurudi mtaa na kuendelea na ufisadi then marando anarudi jukwaani kulaani ufisadi
MAYBE WE ARE NOT TAKING POLITICS TOO SERIOUS AT ALL, AND MARANDO IS JUST TAKING A PISS AT OUR SILLY POLITICS
Mie badala ya kumtetea naweza hata kumpiga bastola akafie mbele ya safari.
Uwakili wa Kisheria ni biashara hivyo huwezi chagua nani wa kumuuzia bidhaa zako. Wote ni halali mbele ya biashara.