Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?

dah! Marando kalenga mahala pake. Tuhuma kumbe zinauma hivi
 
siku moja nilimsikia prof Safari, akimkatalia jamaa mmoja aliyekuwa na kesi akituhumiwa kutumia jina la Marehemu DR OMARY ALLY JUMA kutapeli mamilioni hapa mjini. Prof Safari aliitikia wito wa yule bwana, alipoelezewa kuwa wakili wa yule bwana, nilimsikia akimjibu yule bwana , kama ni kesi hii ,mimi naheshimiana saana na marehemu DR OMARY ALLY JUMA, utanisamehe siwezi kufanya kazi hiyo. tafuta wakili mwingine. Profesa SAFARI alionyesha weledi.
 
Nape,
Tatizo lako ni kwamba una tendency ya kuanzisha mada halafu tukianza kukuuliza maswali unasepa. Inakuwa vigumu kwa watu makini kuchangia kwa sababu hiyo.

ndio zake huyo !!!! ni popoooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!11
kigeugeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wapi magamba uliyoyavua ?
 

Kwani kuna tofauti gani kati ya babu na mzee? teh teh teh
Mzee na fikiri ni neno la jumla kwa mbuzi,kondoo, wanawake, wananume nk. Lakini neno babu ni very specific kwa njisia moja ya binandamu kama ilivyo neno bibi, ajuza nk.

Babu ama bibi kwangu mie halihusiani na umri, bali linahusiana na majanibu husika. Unaweza kuwa na miaka 30 ukaitwa babu ama mzee.
Kwangu mie neno KIKONGWE na KIJANA ndilo lina mahusiano ya moja kwa moja na umri.
Mfano BABU KIKONGWE ama BABU KIJANA.
 
Ndugu yangu Nape, huu ndiyo wakati wa kurudisha imani kwa vijana walio makini. Weka hiyo scan ya barua tuione. Kama huwezi tumia hata mtu mwingine aje aimwage hapa. Kwani ktk hili inawezekana Marando ni mwanasiasa anapokuwa jukwaani na wakili anapokuwa mahakamani.
 
Ila kwel dunia haina usawa,nape bila hata haya leo unaaongelea unafki?mnafki wa kwanza ni ww na cyo tu ktk swala la ccj ila hata ishu ya magamba..ww c ulipiga vuvuela kw lowassa na mafisad wengine,iko wap leo?
Haha haaaaha hafu kwel bdo ccj iko damun ktk mda wote unaokaa pale lumumba ukiita waandishi unatafta rangi ya njano itokee..au hua unawapa sign pm7
 
Nnauye Jr

Banned




Thread hii imemletea ban.
Hajajua kuwa kuwa jf haitaki kutaja taja majina... nimjuavyo laizma atalalamika fb kuwa jf ni ya cdm kisa kamsema malando mtu wa cdm
 
Wabongo kwa unafiki, sasa hamjui kuwa Marando ni mnafiki? kwa nini anawatetea mafisadi? Hili halina ubishi wala uchama hapa! Au kwa kuwa ni CDM, ondoeni fikra za kipumbavu vichwani mwenu!
 
Hata mimi naamini ni politically incorrect kuwatetea mafisadi wa EPA mahakamani wakati huo huo ukiwalaani majukwaani. Sasa kama mtu kambaka mkeo nawe ni wakili utamtetea mahakamani, simply because ni haki yake kupata legal services kutoka kwa wakili yeyote?
 
Hamjui kwann nape kaboreka na message ya marando! He is automatically dissqualified for the post as pe ccm constitution!
 
Naamini kwa yote yanayotokea ni matokeo ya kumomonyoka kwa maadili ya taifa na viongozi wake kwa ujumla.
Watu wengi hasa wanasiasa wana impact kubwa sana katika taifa letu kwa kuwa wana wafuasi bila kujali kama ni wa upinzani au watawala, kwa kuwa hawafahamu hadhi yao katika jamii wanafanya mambo kama watoto wa shule za chekechea!
Haiingii akilini kwamba jukwaani unamchana mtu kwamba ni mwizi halafu mahakamani ambapo huku ndiko kuna madhara makubwa kijamii kama taaluma yako inaweza kutumika kumsafisha mtu ambaye ki kweli ni mhalifu halafu ukasema unatumikia taaluma hii si sawa hata kidogo.

Na ndio maana haiwezekani mtu kakuibia wewe mwenyewe halafu utegemee kwamba atakuja kuku kodi kama sheria umtetee huu ni lazima tuuite unafiki.
 
Hamjui kwann nape kaboreka na message ya marando! He is automatically dissqualified for the post as pe ccm constitution!
 
Marando na watetezi wa unafiki wake nijibuni swali moja tu na mawakili wengine pia msaidieni mods usiunganishe thread hii pls ili isiwe ya kichama Bali kitaaluma zaidi...

HIVI MARANDO MBAKAJI WA MKEO AU BINTI YAKO AKIJA UKAMTETEE MAHAKAMANI UTAENDA KISA ANAKULIPA NA WEWE NI WAKILI??!!!!
 
Acha kuuliza maswali ya kipuuzi hapa jamvini. Huna kazi ya kufanya? Mngese nini?
 

Unaomba huruma ya mods... Mods futeni huu upuuz, bwana wao nape ameanzisha ujinga kama huu tena usiku wa manane, maswali yalipokuwa mengi akakimbia...
 
Nnauye Jr kabla hujaita wengne kuwa ni wanafki nakuomba ukumbuke vile vikao, ahadi. Unakumbuka kuwa vile vikao vilikuwa vinahusiana na uasi ndio maana inakuwa ngumu wewe kukamatika moja kwa moja kwa sababu ilikuwa ni siri. Kumbuka jinsi mlpokuwa mnahamahama kumbi kadhaa pale ambapo mlihisi kufuatiliwa. Kumbuka ambavyo kikao kimoja kilivyokuwa kinafanyka katka kumbi 4 au 5 tofaut kwa siku 1. Kumbuka vizuri kile kikao mlichokaa na viongozi wa Chadema ili nyie CCJ muungane na Chadema katika uchaguzi wa 2010. Kumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unashinikiza uteuliwe wewe kugombea ubunge wa Ubungo kupitia muunganiko wa Chadema na CCJ. Kumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unamwomba Mnyika asigombee ili akuunge mkono. Kumbuka jinsi ambavyo ulikataliwa kuungana na CHADEMA. Kumbuka lugha ulizotoa siku ile.. Wewe Nape Nnauye ni mnafiki sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…