baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,404
- 4,850
Mbunge wa musoma vijijin kipindi hiko sasa Mbunge wa butiama ,Mh Nimrod Mkonohe he he he
Osald Mang'ombe tena??
Kesho nikipita kuelekea Buhemba nitakusalimu hapo kijiweni kwako.
Alijenga shule tatu , moja ikiitwa Chief Wanzagi ,nyingine Chief Ihunyo na ya Mwisho Oswald Mang'ombe
Hakika hizi ni shule ni nzuri sana ,alipojenga shule mbili alizikabidhi serikalini yaani chief ihunyo na Oswald mang'ombe na akazipatia walimu wazuri toka uingereza
Mfano Oswald mang'ombe ina swimming pool