Kwamba simba ya tangu mwaka 2005 imekuwa ikimtegemea OKWI kuisawazishia mabao na kuipatia ya ushindi.
mlishaleta mada humu jamvini kuwa alisajiliwa yanga, na tupo msajili hamkuuliza pesa imetoka wapi iweje baada ya kumuuza mnauliza pesa tumeifanyia nini?...viongozi wa simba hawatoi mapato na matumizi kwa wanzania bali wanatoa mapato na matumizi kwa wanachama wa simba sasa kama wewe uko nje ya kundi hilo piga kimya maana haya kuhusu kivile...vipi leo ubwabwa wapi...huu ndio muda muafaka sasa pole sana ila mkuu ile 300K imefanyiwa nini maana huyu msonjo ni hatare..
Ni aibu na maajabu kuona manazi wa Yanga wanapiga kelele hapa wakati tunachezesha Yosso watupu kwa nia njema ya kuwajenga na kutengeneza akina Messi wa kesho na pia tunajua wale waangola wapo hapa sasa ndo watachanganyikiwa. hatuwezi kuweka kikosi cha kwanza kwa timu hii inayoshika nafasi ya chini kutoka juu..
Sasa nyie timu ya baba Rz1 mmepanga kikosi kamili na kuishia kushinda kwa matuta mechi mbili....mnahonga marefa hata mechi za kirafiki eti ili kushangilia uturuki (hivi umesikia timu gani ya ulaya imetia kambi uturuki..?? )
...Subirini ligi ianze tuwanyuke ndo mtajua uturuki wanakaa kambi za jeshi sio mpira...ha ha ha
Toka kile kikosi cha Juma Kaseja,Nasoro Chollo,Ochieng,Kapombe,Kiemba,Ngassa,Kazimoto,Sunzu,Boban na Edo wakung'utwe 3-0 na Sofapaka ya Kenya agizo lilitoka kutoka kwa Bosi Mkubwa kabisa wa Simba Mh Ismael Madeni ya Maharage kuwa game yeyote ya kirafiki itakayokuwa na dalili za kufungwa ni marufuku kuchezesha kikosi cha kwanza,wachezeshwe team ya Vijana ili hata ikifungwa ijulikane kuwa ni team ya Vijana imefungwa,Simba bwana they think they can fool all people all the time.
This is one of the silly BS I have ever heard in futbol...!!
Yaani wewe dunia nzima inalia soka la vijana likuzwe, na hawa vijana juzi juzi tu wamewatoa jasho full skuad ya Azam kule zenji.
Sasa wewe unaongea ----- gani, hayo maagizo aliyatoa wapi, au mlikuwa nyie wawili tuu ?? Jus simple common sense ligi inaanza in three days, na kuna scouts wa Angola wapo nchini kupeleleza simba sasa kuna ulazima gani kuchezesha kikosi cha kwanza ktk mechi maharagwe kama hii, timu yenyewe inashika nafasi ya sijui 15 kati ya timu 17...!!
Subiri uone in 2-3 years nani atakuwa anatamba ktk soka la bongo au hata nje kati ya yosso wa Simba na timu nyingine.
Confidence inajengwa hivi, na hata hao akina Pique, Sterling, Rooney, Fabregas, au hata Messi na mayanki kibao wa Barca walipatikana kwa kuanzia ktk mechi kama hizi..!! Nyie tatizo mnatumia usanii kufukia mashimo, madeni hela zimeliwa sasa mnahonga marefa mechi za kirafiki eti timu ishinde na mseme ni matunda ya uturuki....ngoja kichapo kije tusikie visingizio ohh kulikuwa na vita uturuki...
Na kwa huyu Kocha, kashasema kuna watoto hawa watacheza mechi nyingi sana za ligi na kimataifa. Nyie endeleeni kuchezesha hao shikamoo jazz akina Nsajigwa ...
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...
This is one of the silly BS I have ever heard in futbol...!!
Yaani wewe dunia nzima inalia soka la vijana likuzwe, na hawa vijana juzi juzi tu wamewatoa jasho full skuad ya Azam kule zenji.
Sasa wewe unaongea ----- gani, hayo maagizo aliyatoa wapi, au mlikuwa nyie wawili tuu ?? Jus simple common sense ligi inaanza in three days, na kuna scouts wa Angola wapo nchini kupeleleza simba sasa kuna ulazima gani kuchezesha kikosi cha kwanza ktk mechi maharagwe kama hii, timu yenyewe inashika nafasi ya sijui 15 kati ya timu 17...!!
Subiri uone in 2-3 years nani atakuwa anatamba ktk soka la bongo au hata nje kati ya yosso wa Simba na timu nyingine.
Confidence inajengwa hivi, na hata hao akina Pique, Sterling, Rooney, Fabregas, au hata Messi na mayanki kibao wa Barca walipatikana kwa kuanzia ktk mechi kama hizi..!! Nyie tatizo mnatumia usanii kufukia mashimo, madeni hela zimeliwa sasa mnahonga marefa mechi za kirafiki eti timu ishinde na mseme ni matunda ya uturuki....ngoja kichapo kije tusikie visingizio ohh kulikuwa na vita uturuki...
Na kwa huyu Kocha, kashasema kuna watoto hawa watacheza mechi nyingi sana za ligi na kimataifa. Nyie endeleeni kuchezesha hao shikamoo jazz akina Nsajigwa ...
Bwana Mafuluto hlf unasahau kabisa kuwa record zinaonyesha team yako hupata shida sana ku'vuna point hata kama ni 1 pindi mnapokutana na team zilizo katika nafasi za chini hata katika hii Ligi yetu ya madafu mfano...kumbuka mlivyo'pambana kupata point 1 mbele ya Polisi Dodoma iliyokuwa mkiani kabisa kwenye duru la kwanza,bila kusahau Mgambo Shooting ambao walianza kufufukia kwenu......sasa binafsi najiuliza kama team hizi za chinichini zinazoshiriki katika Ligi ya madafu huwa zinakutoa kamasi vipi za Ligi kuu ya Africa Kusini?
Naona mlienda kujumua pamba na sandos za kulia ubwabwa
Sawa kaka, nyie mizigo yenu si ilitangulizwa kwa makontena ya pembe kuuzwa, na malipo yakaja kwa makontena ya unga...na inapokelewa na kusindikizwa na ving'ola.... !! Uturuki safari imesaidia kuja kuongeza mateja nchini.... halaf mtaibuka na mapicha kujifagilia mmesaidia akina Ray C... !!
Biashara kubwa kubwa hizo za msomali wenu Rage na Kinana
Na boss wao pale mjengoni ambaye nyumba ndogo ndiyo ktk kuzima kelele inajifanya kufadhili Simba sio.... teh teh teh..