Kama kawaida Mnyama Unyamani kama kawaida analeta burudani ya kutosha pasi za kutosha, chenga za maudhi, kasi ile ile, maujanja ya kutosha n magoli ya mbele nk. Si unajua tena mnyama soka la kitabuni sio kama wale wenye rangi za matembele game ikiisha lazima ule pain killa shingo inauma full kupiga ndege.
Nmeshajongea eneo la tukio.
Game inaanza 18:30 kama mbele sio wanaocheza saa sita mchana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hao Black Leopards si wamecheza jana au hawachoki. Sasa leo watakuwa wanakimbia au wanatembea?
Na wewe muanzisha uzi mbona maneno yako mazito kuliko mpira wa Oman unaochezwa na msuli?
Hayo maneno yako utayakataa baadaye wewe jifanye unajua kuongea,naona Huwajui hao Chui Weusi!!!!watakupigeni makucha ya kutosha leo.haya,labda kama umewasiliana na wakina,Tegete,Bahanuzi,Niyonzima,Kavumbagu na wakina Musuva wakawaelekeza namna ya kuwafunga kwa sababu wenyewe wana uzoefu wa kutosha katika kuwafumua mabao.
tupe updates mkuu
Akupe Updates wakati wanahangaika kuchomoa mbili sasa hivi??!!
unazi@yangakwalalumpamajigambo.com/uturuki
masikhara hayo....:madgrin:
Akupe Updates wakati wanahangaika kuchomoa mbili sasa hivi??!!
Simba Kawa mbuzi nini
Game bado haijaanza. Ndo wanapasha hapa. Hao wa rangi za magamba wache waongee 2 lakini mioyoni wanajua mnyama anatisha mbaya. Rejea tarehe 6 mei 2012
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hizo mbili zimefungwa na timu ipi?