Katika mazungumzo yenu mengine hamjayajadili. Muulize kile anachopata kule nje kikoje labda wewe hujui kitu. Siyo rahisi kuacha kwenda kushop hao dadaz poa kama wanamlizisha zaidi yako. Unajua wanawake wengi ni wa hanga wa hili. Wanadhani kumlidhisha mume ni kumvulia chupi tu na kulala chali basi. Kuna vyaziada. Jipange dada. Au uliza wanawake wenzio waliokutangulia watakwambia namana ya kumloga mumr bila dawa na akawasahau hao wa kununua.
tinna cute heri ya mwaka mpya. Nimekumiss wangu.Mtu ananunua malaya bado tu uko nae eti ataacha!!!!!! Oooh!!!!
Hujiamini dada na bado hujajitambua..
Wewe binti
Hujitambui
Wala hujui thamani yako
Sasa kama alijaribu kuacha akashindwa,c ni kwamba hawezi acha,kusoma hujui bidada na picha huoni,huyo kwa upande wngu hafai ila zaidi fwata moyo wako!
Asimruhusu?? We utakuwa hujaelewa mada. Labda umshauri "akafute" aliyokwisha yafanya.inabid ufuate moyo wako,ila usimruhusu kugegeda hadi uone amebadilika na inabidi mkapime maana ucje ukahatarsha maisha yako
Usi ishie tu kumwambia hajitambui wala hajui thamani yake haita msaidia mwambie ni kwanini na afanye nini huo ndo msaada pekee kwake!!!khaaa
...atakuwa anfuata ile bidhaa haramu aka 0713...
Maelezo yako ni kwamba hujawahi kusex na mwanaume yeyote kabla ya yeye. Kumbe hujui kumpawisha ndio maana anaenda kwa wazoefu wakampagawishe . Ongeza maarifa