Simbani kugegeda lakini bado ananunua malaya

Simbani kugegeda lakini bado ananunua malaya

Jamani tukitoa ushauri tujitaidi kuwa serious,,dada i wish uchukue maamuzi magumu,maisha yana thamani kuliko mapenzi na katika maisha si mapenzi tu yapo japo ni ya muhimu mi nakushauri UACHANE NAE,mzinzi ni mtu mbaya sana atakufanya ujute milele,mbona wanaume wapo weng tu zaidi ya huyo,muache then jipe muda wa kukaa mwenyewe SINGLE na ukipata mpenzi ujifunze ktokana na makosa(TRIAL AND ERROR)
NIMEGUSWA SANA NA TATIZO LAKO.

asante sana kwa ushauri.
 
sasa sisi tutajuaje kama ataacha, na wewe tafuta mpango wa kando ili mtoke sare.
 
kitu kinachonipa faraja jamaa kakubali kwamba ni kweli anatembea nje, kama ana nia dhabiti ya kuacha inabidi apate ushirikiano kutoka kwako sio kumpa papuchi daily la hasha ni kujaa mlijadili tatizo akupe mikakati yake ya kuacha maana hiyo ni tabia kama kuvuta sigari mtu haachi to kwa siku moja. pia awaone waelimisha rika wampe ushauri zaidi.

asante kwa ushauri
 
pia mkapime vvu akijua yupo freah siku moja mkatembelee wagonjwa wa ukimwi kama mwanajamvi mmoja alivyopendekeza kwenye uzi mmoja hivi, akili itamuingia.

kwa upande wangu nimepima na niko safe,bt hii wont guarantee kwamba am safe hadi nikirudi after 3month ndo nitakuwa na uhakika zaidi.asante
 
shukuru MUUMBA kwanza... mpenzi wako ni mtu wa kubadilika badilika kama hali ya hewa..

tumia hiyo weakness kumpika uwezavyo.. mpe ushauri tangible ikiwezekana tumia hata picha kumfundisha juu ya madhara

ya kutembea na hawa kina dada.. mfunde kisawa sawa, mfuatilie pia uone kama kuna mabadiliko..

pia, mwambie aepukane na makundi ya vijana yasiyo kuwa na tija kwake.. atakuja kupewa ushauri utakaompoteza kabisa!
 
Inawezekana anakuridhisha lakini wewe haumridhishi.
Ladies wa kununua mara nyingi huwafanyia men mambo ambayo wapenzi wao hawayafanyi, mfano, kunyonya koni, kubadili badili style, kuwafanyia massage, kulalama kimahaba zaidi na utundu mwingi tu, ambao mpenzi wake hamfanyiii! Sasa hapo ushindani unakuzidi wewe!
Badilika mama, ongeza ufundi!
Zaidi usimuwekee ratiba ya week end to week end, mpe hata katikati ya week, au muoane kabisa uwe nae daily! Week end to week end seems too long for him!

kiukweli najitahidi sana kumridhisha kama unavyosema kunyonya coni, n kumbadilishia style.bt nitajitahi kuongeza zaidi.na abt kuonana siku za week ni kwasababu ya kazi ndo maana inashindikana kuonana siku za week.asante
 
shukuru MUUMBA kwanza... mpenzi wako ni mtu wa kubadilika badilika kama hali ya hewa..

tumia hiyo weakness kumpika uwezavyo.. mpe ushauri tangible ikiwezekana tumia hata picha kumfundisha juu ya madhara

ya kutembea na hawa kina dada.. mfunde kisawa sawa, mfuatilie pia uone kama kuna mabadiliko..

pia, mwambie aepukane na makundi ya vijana yasiyo kuwa na tija kwake.. atakuja kupewa ushauri utakaompoteza kabisa!

asante sana kwa ushauri
 
Kapime kwanza ujue status yako ndio ujipange cha kufanya. huyo atakuuwa na magonjwa, kwanza hana shukrani hata kidogo. Tantizo utajuaje kama kaacha? kama hukujua alivyokuwa akiendelea kununua ujue hata baadae ataendelea tuu.

nimepima na niko safe,bt hii haimati sana coz ni ya kwanza.nasubiria after 3month nikapime tena nipate uhakika zaidi.hata mimi najiuliza nitajuaje kaacha??? Bt wat i blv is u will never fool a person all the time.asante
 
Take this:
Dawa ya kuacha punyeto ni kununua malaya. Na dawa ya kuacha kununua malaya ni kuoa. Mkioana ataachs.

asante.bt vipi tukiona halafu asiache? Na ndoa is not a movie ni reality.huoni kwamba itaniletea shida kama 2meona halafu asiache?
 
!
!
umemaliza mkuu,nonge moja la ushauri. Muhimu ni kujua anapata nini kwa hao malaya ambacho wewe huwezi kumpa. Lakini pia ambacho najua hutataka kujua ni kwamba anachokipata kwa hao malaya ni muhimu zaidi kuliko wewe, kwani anajua ukijua hiyo tabia yake kitakachofuata ni kuweka uhusiano katika hatari. Kutana nae muongee na umweleze tabia hiyo inaweka uhusiano hatarini. Unaweza kumpa anachokosa kwako,au huwezi anatakiwa kutoka kwako anatakiwa kubadilika. Katika mahusiano hawezi kupata kila kitu anachokitaka. Mpe nafasi asipobadilika uamuzi unao wewe mwenyewe. Kama unaweza kulipa hiyo gharama uendelee naye,fine. Kama huwezi achana naye. Kuna wakati unatakiwa kusonga mbele bila mtu fulani,kama alitakiwa kuwa katika maisha yako atakukuta mbele.

asante kwa ushauri
 
Hapa Ndio nashindwa kuelewa akili za wanawake......yaani unadanganywa kirahisi namna hio na wewe unakubali? Sikuelewi kabisa hata kama unampenda kiasi gani hio ni ujinga.

Kuna uwezekano hata wewe mwanzoni hakukutongoza kwa maana ya kukupenda Bali kukununua kama hao wengine. Ndio wewe ukamganda. Correct me
 
Back
Top Bottom