Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
Habari wana JF.
Kwa kuanza mimi ni mgeni mahali hapa so naombeni ushirikiano wenu.mimi ni mwanamke wa miaka 25, nina mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano yapata miaka miwili sasa. Nampenda sana na pia ni yeye ndo kanifundisha mapenzi na kiukweli sijawahi sex na mwanaume mwingine zaidi yake coz namuheshimu na ninampenda pia na isitoshe ananiridhisha kimapenzi.
Kama mjuavyo kuwa no perfect relationship tumepitia challenges nyingi, sasa juzi nikagundua kuwa mpenzi wangu ananunua malaya, kiukweli ilinishtua sana maana ni mtu ambaye nilimuamini sana kiasi hata cha kufanya nae sex bila condom. Kumfuatilia mpenzi wangu kutaka kujua ukweli, kweli hakubisha alikiri kuwa ni kweli huwa anaenda kununua malaya. Nikamuuliza kulikoni wakati sijawahi kukubania kugegeda hata siku moja? na isitoshe tuko mkoa mmoja japo hatuishi pamoja ila kuonana kila weekend inawezekana.
Akasema zamani akiwa hana mpenzi alikuwa anapiga Punyeto sana,so akaelezwa madhara ya punyeto kwamba unaweza ukakosa uwezo wa kuzaa baadaye akashauriwa ni afadhali anunue malaya kuliko kupiga Punyeto, ndo hapo alipoanza kununua malaya na baada ya kuwa na mimi amejaribu kuacha ameshindwa kuacha, lakini akasema pia kwa sasa yuko tayari kuacha kabisa hii tabia maana hata yeye hapendi anavyofanya hivyo, so amepromise kuachana kabisa na hii tabia sababu kaona ni foolishness.
Swali langu; ni Je ataacha kweli hii tabia? Au ni danganya toto tu? Au nifanye tu usawa wa kuengage kwenye relationship nyingine japo nampenda sana?
Ushauri wako tafadhali.
Asante