johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,653
- 143,028
Serikali imewataka Wananchi kuchukua tahadhari zote kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa kutangaza upungufu wa Mvua msimu huu wa Vuli yaani October to December
Waziri Simbachawene amesema moja y tahadhari ni kujikinga na maradhi yanayosababishwa na upungufu wa Mvua ( maji)
Source ITV Habari
Waziri Simbachawene amesema moja y tahadhari ni kujikinga na maradhi yanayosababishwa na upungufu wa Mvua ( maji)
Source ITV Habari