Yeye si mtu muhimu chamani wala serikalini. Hana 'influence' za kiuongozi hadi azushiwe. Ni mtu mdogo sana nchi hii. Habari ya kufumaniwa kwake yeweza kuwa imekosewa kuwa amejeruhiwa. Lakini,kufumaniwa kwabaki. Hana heshima kubwa nchini ili kumwinda kwa uzushi. Asifungue tena mdomo wake...