Simba yapigwa na watotot wa oman

Simba yapigwa na watotot wa oman

Wamecheza na Timu ya Taifa ya vijana (under 23) ya Oman.Wanalijua soka hao. Siyo kitimu cha daraja la tatu.
 
under17 wa oman wanapiga soka, hahahahhaaaaa msichekeshe uma nyie,.
 
Wamecheza na Timu ya Taifa ya vijana (under 23) ya Oman.Wanalijua soka hao. Siyo kitimu cha daraja la tatu.

Unachekesha, Oman wanajua soka, haa! Huu ndiyo ukweli katika FIFA ranking: Oman-95, Tanzania-130, German-2, Netherlands-8 na Turkey-40; Source www.fifa.com. Nadhani utapata jibu nani alicheza na timu zinazojua mpira. Kama hujaelewa uliza nikujibu.
 
Unachekesha, Oman wanajua soka, haa! Huu ndiyo ukweli katika FIFA ranking: Oman-95, Tanzania-130, German-2, Netherlands-8 na Turkey-40; Source Fédération Internationale de Football Association (FIFA) - FIFA.com. Nadhani utapata jibu nani alicheza na timu zinazojua mpira. Kama hujaelewa uliza nikujibu.

He!, kumbe hawa fifa sikuhizi wanatoa points za viwango vya ubora wa nchi kwa kuangalia uwezo wa timu za daraja la tatu!. Basi tuiombee mema timu yetu ya Nazareti ya njombe iwe bingwa kule kwenye baridi ili itubebe.
 
simba leo yapigwa 1;0 na watoto wa under17 oman, hi ndio habari sjui hayo mashudu yako umetoa wap?
 
He!, kumbe hawa fifa sikuhizi wanatoa points za viwango vya ubora wa nchi kwa kuangalia uwezo wa timu za daraja la tatu!. Basi tuiombee mema timu yetu ya Nazareti ya njombe iwe bingwa kule kwenye baridi ili itubebe.
Hizo timu za daraja la 3 ndo zinazozaa timu za daraja la kwanza za nchi husika,kwahiyo ubora wa hizi timu unaanzia toka madaraja ya chini!
 
Eti ile timu iliyowafunga akina Mbuyu & co. iko daraja la 8 (ni kama non-affiliated low-A baseball team ya U.S. au Canada). wapambe waliipandisha daraja kuficha aibu
 
jaman mbona hyo haiendani na ya leo simba kufungwa na watoto wa chekechea
 
unachekesha, oman wanajua soka, haa! Huu ndiyo ukweli katika fifa ranking: Oman-95, tanzania-130, german-2, netherlands-8 na turkey-40; source www.fifa.com. Nadhani utapata jibu nani alicheza na timu zinazojua mpira. Kama hujaelewa uliza nikujibu.

kucheza na nchi yenye viwango vizuri vya fifa sio kigezo. Chakuangalia hapa ni ubora wa timu husika tu. Kwani tz tulipocheza na brasil tumepata mafanikio gani?. Kama sio sifa na ulimbukeni wetu ndio unatupoza.
 
Kwani ubora wa under 17 ya Oman ni zaidi ya wajerumani? Au unalinganisha na mfumo wa daraja la tatu la bongo?
 
Eti ile timu iliyowafunga akina Mbuyu & co. iko daraja la 8 (ni kama non-affiliated low-A baseball team ya U.S. au Canada). wapambe waliipandisha daraja kuficha aibu

Hehehehe ... Mkuu acha masihara
 
Madeni fm vp Mlishawalipa papic na njoroge

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hapana hatuja lipa tunasubiri mtani wetu umlipe marehemu angarau kalambilambi kake tu,. Rip mafisango
 
Rage ana roho ya kikatili sana kula pesa ya rambirambi inatakiwa kuwa na roho ngumu mkuu
 
ohoo chezea msomali wew hata mia haijamfikia mafisango, huyu rage huyu. afu jitu linakuja fananisha na madeni ambayo tushalipa toka mwaka jana ya papic na njoroge.
Pelekeni rambirambi bana simbaa roho mbaya hiyo
 
Unachekesha, Oman wanajua soka, haa! Huu ndiyo ukweli katika FIFA ranking: Oman-95, Tanzania-130, German-2, Netherlands-8 na Turkey-40; Source www.fifa.com. Nadhani utapata jibu nani alicheza na timu zinazojua mpira. Kama hujaelewa uliza nikujibu.
Ni YANGA.
 
Back
Top Bottom