DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
- #21
Unapokuwa unafanya analysis ya jambo, hauchukui scenario moja ndiyo ukaitumia kama conclusion maana hiyo inakuwa ni outlier au rare case badala yake general conclusion inachukua scenario zilizojirudia mara nyingi zaidi.Hakuna mechi ambayo Simba walicheza siku moja baada ya Yanga na ikaisha kwa sare au kufungwa? Na je hakuna mechi ambayo Yanga amecheza baada ya siku moja na imeisha kwa sare au kufungwa?
Baada ya kusema hayo, rudi utafute rekodi za ratiba zao duru la pili na matokeo yao utuletee ili tuyachambue pamoja.