SIMBA WAWILI WANAO UNGURUMA MJINI

SIMBA WAWILI WANAO UNGURUMA MJINI

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
IGP.jpg
MAKONDA.jpg
 
asee babu uliandimika sana MziziMkavu...kwema lakini.
 
Ukisikia walioko SERIKALINI hawawasiliani ndo huku.....

Maana nimekumbuka mambo kama haya pia...
1. Mwakyembe hakuna ndoa bila cheti cha kuzaliwa, lakini ndani ya masaa 24 JPM alifuta jambo hilo....
2. Mkurugenzi wa Mwanza aliwatimua wamachinga kuuzia bidhaa zao barabarani, JPM akawarudisha barabarani waendelee kuuza bidhaa zao....
 
Haiwezekani mtaa wa Msimbazi kuwe na Simba wawili, hapo mmoja Simba mwingine Yanga hao ni watani wa jadi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Huyo polisi anatuona sie wajinga kweli au anadhani kiwango chetu cha uelewa ni kama chake? Jeshi hilihili?????
 
Back
Top Bottom