Simba wanataka kufungua kesi dhidi ya tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba wanataka kufungua kesi dhidi ya tanesco

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lighondi, Jul 12, 2011.

 1. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi zisizothibitishwa kwamba Simba Sports Club wanataka kuwashtaki Tanesco kwa kuvunja moja ya kipengele kikuu (major term) cha mkataba. Kwa mujibu wa mkataba wao Tanesco walitakiwa kukata umeme dakika tano kabla ya mpira kuisha endapo Simba ingekuwa imefungwa ili ikibidi gemu irudiwe siku nyingine. Japo kwa kufanya hivyo ingeleta gharama nyingi zisizokuwa za lazima kwa TFF. Lakini Tanesco waliamua kukata umeme baada ya mpira kuisha na timu hiyo ktunukiwa ushindi wa pili.
  Viongozi wa timu wako kwenye maandalizi ya ku-file kesi!

  Wanasheria vp hapa jamaa wanaweza kushinda kweli!!
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Udaku mwingine hauna kichwa wala miguu!
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Watafanikiwa tu,maana mtaalam wa vipengele-Rage yupo.
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Meneja mshabiki wa Yanga, we sema aliamua kufanya hivo huenda kwa sababu alimega hela za Simba.
   
Loading...