Watapewa la NBC na bodi ya ligi maana yanga awatocheza iyo mechi na wao wakajiliwaze naloMpira hauchwezwi kwenye mdomo.
Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu".
Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto?
Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa ujasiri wa kizembe complacency badala 'wagangamale' kiume.
Inavyo onekana Simba wasipojikaza kiume watapiga treble ya kukosa makombe yote matatu waliyo tegemea msimu huu. Yaani kukosa CAF Confederation Cup, NBC Premier League Cup, na CRDB Confederation Cup.
Kinyume chake watani wao Yanga wanaweza kupiga treble ya makombe matatu. Yaani NBC Premier League Cup, CRDB Confederation Cup na Muungano Cup endapo TFF, Bodi ya ligi na akina Tatu Malogo(Waamuzi) wasipo wasaidia Simba.
Matusi ruksa, kumbuka tu ukinitukania wazazi wangu basi tusi hilo liwaendee wazazi wako mara 7.
Angalau ni kubeba Kombe. Hayo mengine ni kufarijiana tu.Kama namuona vile mchambuzi Ambokile anawananga 5imba "Nasema hivi 5imba wakajifunze kwa Eng.Hersi Saidi jinsi ya kucheza fainali za CAF".
Angalau Yanga walitoa aggregate ya 2-2 na USM Algiers.
Kanuni ya away goal iliwanyima kombe.
kesho injinia aite press tutangaze tunacheza ili tulikoroge kolo bichwaMpira hauchwezwi kwenye mdomo.
Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu".
Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto?
Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa ujasiri wa kizembe complacency badala 'wagangamale' kiume.
Inavyo onekana Simba wasipojikaza kiume watapiga treble ya kukosa makombe yote matatu waliyo tegemea msimu huu. Yaani kukosa CAF Confederation Cup, NBC Premier League Cup, na CRDB Confederation Cup.
Kinyume chake watani wao Yanga wanaweza kupiga treble ya makombe matatu. Yaani NBC Premier League Cup, CRDB Confederation Cup na Muungano Cup endapo TFF, Bodi ya ligi na akina Tatu Malogo(Waamuzi) wasipo wasaidia Simba.
Matusi ruksa, kumbuka tu ukinitukania wazazi wangu basi tusi hilo liwaendee wazazi wako mara 7.
Tucheze derby sasa tuwakanyage kabisa makolo wafunge kamdomo mazima!kesho injinia aite press tutangaze tunacheza ili tulikoroge kolo bichwa
Cha ajabu team inayokaribia kuchukua ubingwa mara nne mfululizo ndio inalalamika kuliko team ambayo haijachukua huo ubingwa miaka minne haya ni maajabu.
Yanga nao waache uroho basi, makombe yote hayo abebe yeye tu khaaa!!Tayari yametimia.
What is written shall come to pass.
Simba wapiga treble ya kukosa makombe matatu.
Yanga inakaribia kupiga Quadruple
Ambayo ni (1)Muungano Cup, (2)NBC PL, (3)CRDB Federation Cup, na (4)Community Shield.
Matatu tayari bado CRDB Federation Cup.