Simba wana mgao kwa Samatta kwenda Aston Villa?

Eti kila anapouzwa simba itapata pesa!....hakuna hio biashara..pesa simba alipata samata alipotoka mazembe na kwenda genk
 
Kwenye kipindi cha KIPENGA EXTRA usiku huu Rage amepigiwa simu kuhusu kipengele cha Simba kupata % .
Amesema ni kweli kipindi wanamuuza kwenda TP MAZEMBE walisaini kipengele hicho.
Yaani kila Samatta anapohama timu Simba wanapata 20% yao... Ila akasema hajui kama UONGOZI mpya ulisimamia vzr kipengele hicho au walifanya ujanjaujanja.
Ni mchezaji gani mwingine duniani ana mkataba kama huo, kuwa timu iliyomuuza inapata pesa milele kila anapouzwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom