ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,778
- 36,003
Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa
Viongozi wa Simba, TFF na Serikali walikwaminisha mashabiki wa Simba uongo ati mechi ipo Kwa Mkapa, wakati wakijua CAF hawaendeshwi kama akina Mguto
Sasa hapa tunajiuliza watu zaidi ya elfu 20 wameshakata ticket za kuingia Kwa Mkapa na Kwa uchumi wa watu wetu mtu hawezi kutoka Buza akaenda kutazama mchezo huo Zanzibar
Je Simba watauza tickets nyingine za kuingia New Amaan complex siku Jumamosi?
Huu ni utapeli wa wazi