Simba wamevunja rekodi kama Liverpool!

siku ya leo nimeshangweka mpaka basi, Simba noma sana aisee.
 
Simba hureeeeeee...Siku ingekuwa mbaya sana leo...lakini madogo wamefanya mambo. Hongereni pamoja na benchi lenu la ufundi. Na Nyie Yanga, mfanyeje ili mshinde mechi dhahiri kama ya leo????
 
Sijui angekuwa kaseja leo golini yangesemwa nni? Hongera batez
 
Hawa madogo wa simba watakuwa tishio sana kweli king mputa na julio kwa hili kulen tano maana nilijua tunapakatwa leo bila malipo
ila mimi mwenyewe nliogopa sana nkasema leo watatuongeza kama mbili dah kumbe mpira unadunda!
 
Ni baada ya kurudisha goli zote tatu wamefanikiwa kuvunja rekodi hiyo kama liverpool walivyocheza na ac milan


Kha ha ha ha ha ha haaaaa! Mkuu yani hakika ni full shangwe kwa Wanamsimbazi woteeeeee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…