cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
Kama nakuona vile![]()



kwa ushindiii huu, hebu somesha muamalaa.Unakaaje kizembee na mamsapu wako niko full shangwee?
Unaniangusha bhana, em fanya jambooo.
Kama nakuona vile![]()



kwa ushindiii huu, hebu somesha muamalaa.Cna mda wa kulala mtaniii,lol.
Na vile kesho weekend....Sijui ka utalala walah.
![]()










😄😄Alikuwa anachezea simu..Mtoto wangu ndiye aliyepost hii mkuu.....
Sio Mimi
Hata Mimi nmeshtuka kuona thread hii
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwendraaaaaa... Kakojoe ulaleeeee hukoooSema nimefurahia sana huu ushindi wa Makolo....japo ni kama una element za ubahasha bahasha
Furaha yangu ni kuwa tunapeleka timu mbili ....robo fainaliiiiii
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Simba imeshinda..... Tanzania imeshindaLabani og mkuu salama huko?




Kwahiyo, tunaruhusiwa tubonyeze ile button?
Hata wewe ndugu yangu wa damu ....Leo unanigeukaLabani og moderators tunaomba apigwe ban kwa mwaka mzima



Nilijua unataka kumuombea msamahaWee modes hebu mpigeni huyu ban, mnamuacha wa nn had muda huu? Kwan mna utani nae? Hebu mpigeni ban ya siku 6.
Akirudi atakua amekua kiakilii.
Bonyeza hata mwezi akirudi ajue kutojiamini hivyoo sio vizuriKwahiyo, tunaruhusiwa tubonyeze ile button?
cocastic ... kasema msibonyeze mkuuKwahiyo, tunaruhusiwa tubonyeze ile button?

Ngoja tumalize maombolezo kwanzaBonyeza hata mwezi akirudi ajue kutojiamini hivyoo
Jini Subiani punguza masononekoMkuu naona umeamua uwasagie kunguni.
Japo hii sekta ungewaachia tu hao mbumbumbu wazidi kujiwakilisha vyema.


