😃Dereva lala nayo nakuaminia
Hahahaaa. Kama nakuona ulivyomshushua. Lol.
Ila ipo siku tu na hamtaamini.![]()



mtani mambo niliyofanya jana, watu wanisamehe kwa kweli.nimefurahiii balaaaa

😂😁🤣nimefurahiii balaaaa
Hahahaaa. Haya tusubiri quarter final tuone nani atasonga mbele.mtani mambo niliyofanya jana, watu wanisamehe kwa kweli.
Sauti had imekata, sio kwa shangwe zilee aaaah
Teh teh teh kala ban kweli,mods kweli mmetimiza ahadi na ombi la mwanachama🤓