Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Walale? Wanalala kwa amani au raha gani waliyonayoo? Yaan leo ni kuwapa heka heka mwanzo mwisho.

Kuna huyu alijifanya yeye mjuaji sana, kesho namuibukia kwake nkamsuuze vyediii, nikitoka hapo rohoo kwatuuuu.

Eti kutupa heka heka. Lol

😂😂😂
 
Mazafanta na ole wako tukuone hapa na tunapiga ban ukoo wako wote mbuzi wa head wewe🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom