Simba vs Yanga

me huwa nashabikia iliyo fungwa, kwa kuwa leo ngoma droo basi sina cha kushabikia.
 
kama sio waamuzi, tungewafanya "hamna" nyie!?

hivi kumbe hujui mpira, nakuomba ukaangalie tena huo mpira halafu uangalie kwenye youtube kosa alilolifanya okwi na mafta..je wangapi leo wamefanya makosa kama hayo
 
SIMBA SPORTS CLUB. Wewe je?

A-one!
Nimeskitishwa na uchaguzi wako wa timu!
Hakika timu hiyo haikufanani bwanaa!
Angalia mavitu ya kutumia ubavu ya kianaume rangi zake!
Ushawahi ona cattapilar jekundu?
Ma'cattapilar iwe Kijiko, Poclain , excuvetor hua yana rangi gani?
Karibu huku!
Afu unafananaje na Bahanuz!
 
hivi kumbe hujui mpira, nakuomba ukaangalie tena huo mpira halafu uangalie kwenye youtube kosa alilolifanya okwi na mafta..je wangapi leo wamefanya makosa kama hayo

ningekuwa mpemba ningekuwa nasema rifaaaa! Licha ya kutolewa m1 wetu, bado tumewakosakosa kinyama!
 
kama sio waamuzi, tungewafanya "hamna" nyie!?

Pwentiyy!
Unamzungumziaje yule linesman ! Aliponyanyua flag offside ya kwanza second half kwa Yanga , ndiyo hakuteremsha tena mkono ! Ukabaki juu hata wakati mpira ukiwa upo golini kwa Yaw Beko . Linesman kawanyanyulia Yanga flag !
 
A-one!
Nimeskitishwa na uchaguzi wako wa timu!
Hakika timu hiyo haikufanani bwanaa!
Angalia mavitu ya kutumia ubavu ya kianaume rangi zake!
Ushawahi ona cattapilar jekundu?
Ma'cattapilar iwe Kijiko, Poclain , excuvetor hua yana rangi gani?
Karibu huku!
Afu unafananaje na Bahanuz!

Una moyo mgumu kama Gadaffi.

Kuishabikia Yanga a.k.a CCM kweli inahitaji moyo mgumu kama wa Rejao.
 
Last edited by a moderator:

Hivi mkuu Rejao ana moyo mgumu pia...mi huwa nadhani hiyo pua yake pekee ndio ngumu
 
Last edited by a moderator:
Una moyo mgumu kama Gadaffi.

Kuishabikia Yanga a.k.a CCM kweli inahitaji moyo mgumu kama wa Rejao.

Maskini Babuu! Kumbe hata na wewe waingalia Yanga kwa msimamo wa kinyume na chanya?
Vua miwani ya hasi mkubwa!
Kama Green na Yellow za magamba zinawakilisha Yanga,
iweje Mw/kiti wa Simba Aden Rage awe Mbunge toka magambani ? Mtandao wa rangi ya Jangwani hauna nasaba na politiki Babu! Vua mawanimbao!
Nway wakezo hawajambo? Kwa idadi yao na muda nilionao finyu sitowaorodhesha itoshe niseme nisalimie mtandao mzima.
 
Back
Top Bottom