ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 3, 2012 #101 Katavi said: Refa kadi kapeleka wapi? Click to expand... umemuona baamedi walivyomkaba heheheeee...
lutayega JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,298 Reaction score 569 Oct 3, 2012 #102 Mungu yupo upande wetu nimeamini
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Oct 3, 2012 #103 lutayega said: Yanga wapo hoi tena bin taaban Click to expand... Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga!
lutayega said: Yanga wapo hoi tena bin taaban Click to expand... Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 3, 2012 #104 Man soul said: Yanga umekubalije kukojolewa haraka hivyo. Click to expand... kama unajua one mistake one goal hutashangaa kabisaa....
Man soul said: Yanga umekubalije kukojolewa haraka hivyo. Click to expand... kama unajua one mistake one goal hutashangaa kabisaa....
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Oct 3, 2012 #105 ngoja tukajinge upya.!
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,681 Oct 3, 2012 #106 Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... hivi tanzania kuna asiyekula pesa?
Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... hivi tanzania kuna asiyekula pesa?
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,402 Reaction score 13,764 Oct 3, 2012 #107 Na mpira ni mapumziko huku yanga akiwa amekaliwa na mnyama
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 3, 2012 #108 Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... duuu utawajua tu mashabiki maandazi...
Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... duuu utawajua tu mashabiki maandazi...
M Man soul Member Joined Jul 19, 2012 Posts 21 Reaction score 6 Oct 3, 2012 #109 Haya kapumzike mummy ila mpambano utaendelea huwa nakojoaga 5 so vimebak 4.
P Pazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 2,946 Reaction score 1,815 Oct 3, 2012 #110 Yanga wao Mbio kwenda kukaa Vyumbani wanaenda kukata kiu, Simba wapo United leo kilichobaki nikuonana tu hii game Simba ndio tutaondoka Kidedea.
Yanga wao Mbio kwenda kukaa Vyumbani wanaenda kukata kiu, Simba wapo United leo kilichobaki nikuonana tu hii game Simba ndio tutaondoka Kidedea.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Oct 3, 2012 #111 Simba mpira pesa...maneno yako kwenye kanga sio uwanjani ..hahaaaa
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Oct 3, 2012 #112 Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... umemwona na wewe jamaa hayuko sawa kabisa.!
Ralphryder said: Lainzmeni wa kulia kala hela za simba! anaionea makusudi yanga! Click to expand... umemwona na wewe jamaa hayuko sawa kabisa.!
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Oct 3, 2012 #113 dakika ya ngapi wajomba
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Oct 3, 2012 #114 Janjaweed said: hivi tanzania kuna asiyekula pesa? Click to expand... Unamaanisha rushwa au? Kama ndiyo, kwangu haina nafasi hata kidogo.
Janjaweed said: hivi tanzania kuna asiyekula pesa? Click to expand... Unamaanisha rushwa au? Kama ndiyo, kwangu haina nafasi hata kidogo.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 3, 2012 #115 Janjaweed said: hivi tanzania kuna asiyekula pesa? Click to expand... hayo ndo maneno ya simba na yanga hata sishangai...
Janjaweed said: hivi tanzania kuna asiyekula pesa? Click to expand... hayo ndo maneno ya simba na yanga hata sishangai...
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Oct 3, 2012 #116 Sub waliyoifanya yanga itawakosti sana. Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa foward basi wa kutoka alikuwa ni Bahanuz na sio Hamis Kiiza. Nizar Khalfan anapunguza spidi ya mashamulizi.
Sub waliyoifanya yanga itawakosti sana. Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa foward basi wa kutoka alikuwa ni Bahanuz na sio Hamis Kiiza. Nizar Khalfan anapunguza spidi ya mashamulizi.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 3, 2012 #117 Edgartz said: dakika ya ngapi wajomba Click to expand... HT Yanga 0 - 1 Simba 5' kiemba
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Oct 3, 2012 #118 Edgartz said: dakika ya ngapi wajomba Click to expand... Half time mkuu. Fuatilia mechi live hapa: http://radiofreeafricatz.com/startv-live/
Edgartz said: dakika ya ngapi wajomba Click to expand... Half time mkuu. Fuatilia mechi live hapa: http://radiofreeafricatz.com/startv-live/
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Oct 3, 2012 #119 Man soul said: Yanga umekubalije kukojolewa haraka hivyo. Click to expand... atakataaje wakati kishakunywa castle lite za watu....
Man soul said: Yanga umekubalije kukojolewa haraka hivyo. Click to expand... atakataaje wakati kishakunywa castle lite za watu....
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 3, 2012 #120 Pazi said: Natizama Mpira Mkuu Startv. Click to expand... kumbe leo wameonyesha?