huyu mtangazaji wa star tv anaonesha dhahiri ni shabiki wa yanga.kila mpira ukielekea simba anasema nafasi kwa yanga lakini wakishika mpira wachezaji wa simba hasemi nafasi kwa simba

Haya maamuzi ya marefa wa leo ww unayaafiki kweli? hii hali itasababisha kama ni mechi basi simba wacheze peke yao! yani Boban kafanya faulo mbaya sana ila kapewa njano halafu wa yanga kosa dogo tu red card! hatutafika namna hii!