Simon Msuva analambwa Red.......
Ndio wapo live hivi sasa star tv.Ni kweli mkuu wanaonyesha hili gemu star tv?
Yanga keshachapwa?Goli dk ya nne...
Goli dk ya nne...
Keshakung'utwa mkuuYanga keshachapwa?
Sema vizuri mkuu hatujakuelewa
Amri Kiemba kaanza, leo tano zinanukia.